Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Salamu wana JF!Kamati Kuu ya Chadema inakaa kesho, pamoja na ajenda zingine muhimu ni kukaa kama kikao cha kwanza cha uchujaji wa majina ya wagombea wa BAVICHA - Taifa.Ushauri wangu kwa KAMATI KUU...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
watanzania wote naomba tuionee huruma nchi yetu,kelele zimekuwa nyingi na inaonekana serikali haiwezi kufanya kazi zake jinsi inavyotakiwa,tunamnyima kikwete ujasiri wa kufanya kazi kwa sababu...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari za asubuhi wanajamii wenzangu. Kwa kuwa nchi yetu imeingia mkenge kwa mikataba uchwala ya kufilisi nchi, k.m TANESCO na IPTL, DTL, Dowans Holdings SA na Richmond na kote huko tunadaiwa...
0 Reactions
62 Replies
6K Views
Something to be introduced/defined by 1 do and up to 10 don'ts? Hata kama ni maelezo au mafunzo style hii ni nzuri? :A S-rose:Nawasilisha kwa Great thinkers
0 Reactions
0 Replies
951 Views
Rais Jakaya Kikwete amezidi kuandika historia katika kipindi chake cha uongozi kwa kuhitimisha kesi ya EPA ambayo kada wa CCM, Rajabu Maranda na \mshirika wake, Farijala wamepewa hukumu ya miaka...
1 Reactions
113 Replies
9K Views
Kutakuwa na maswali na majibu kuhusu katiba mpya kupitia redio ya demokrasia hapa washington dc ,inayoitwa wpfw .tutawatangazia ,rasmi hivi karibuni.hii redio inasikika sehemu kubwa hapa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema (Chadema) ameendeleza msimamo wake wa kutokumtambua Meya wa Jiji la Arusha, safari hii akiibua malumbano mbele ya wabunge wa Jumuiya ya Afrika Mashariki...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Mzee Mtei amekiri live kuwa CHADEMA ni kweli wamewachochea vijana wao jasiri kudai haki zao. Nimefurahishwa sana na kauli yake bila kutafuna maneno:dance:. Big up Mzee Mtei! Source: Channel 10...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Na Nova Kambota, Tangu kuibuka kwa maandamano ya CHADEMA ya mkoa kwa mkoa kuna mambo kadhaa yaliyojitokeza na yanaendelea kujitokeza ambayo yanadhihirisha kile ambacho wachambuzi hukiita " ombwe...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Ama kweli mwenye nyumba pia aweza kuwa mpangaji ndan ya nyumba yke, haya tumeweza kushuhudia hapa tarime. Hivi serikal iko kwa ajir ya kulinda hawa wanaojiita wawekezaji au wananch wake? Kampun ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Inasemekama kuwa ziwa Tanganyika limekuwa kama WILD WILD WEST...kila kampuni ya mafuta unayoijua wewe inakimbilia huko na of course kama kawaida NGELEJA hataki kuwaambia watanzania kuwa yale...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Ayayanayotokea TARIME we ayakuhusu au hao raia awapo kwenye nchi ambayo unaiongoza
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimekutana ha hii huko Mwanabidii Dr Lwaitama akimjibu Mjengwa. Soma maoni ya Mjengwa na majibu ya Dr Lwaitama, safi sana nimeipenda. Ndugu yangu Mjengwa Mawazo yako yamenigusa sana...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Na Mwandishi Wetu MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Mkoa wa Dar es Salaam, Bi. Shyrose Bhanji jana aligeuka mbogo kwenye kikao cha halmashauri hiyo kutokana na agenda iliyopenyezwa ya baadhi ya...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau, Jana na leo Power zbreakfast wamerusha segement yao ya kuongelea vitu kimafumbo just before taarifa ya habari ya saa moja asubuhi, naweza nisinukuu yote lakini i got the concept na nina...
2 Reactions
61 Replies
7K Views
Makala ya Emanuel Mbondo, Ukishagundua umefanya ujinga inakulazimu utumie nguvu nyingi kuutetea ujinga wako wa awali, na ukishatetea ujinga kwa nguvu uta oneka na unafanya ujinga zaidi ya ule...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Matangazo yamebandikwa kila mahali kwenye barabara za mjini yakisomeka kuwa ni maandamano ya kumtoa fisadi chatanda pia wanadai kwenye uchaguzi wa MEA arusha aliwatukana viongozi wa Dini...
4 Reactions
28 Replies
3K Views
KAULI YA KATIBU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI KUHUSU VITENDO VYA JESHI LA POLISI KWA RAIA NA KUKAMATWA KWA WABUNGE WA CHADEMA Katibu wa Wabunge wa Kambi Rasmi ya Upinzani...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Kwa hapa tulipofikia na tunapoeleka uadui unaongezeka kati ya CDM vs CCM vyama hivi viwili vinakera na vinamatatizo sana Chama neutral ni CUF /NCCR/UDP viungane tuvipigie kura ili tuache...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nahofia sana mfumo wa SIASA tuliouanzisha hivi sasa wa kukuza MIGOGORO na MPASUKO ktk jamii na kuitumia kama MITAJI yetu ya siasa ktk majukwaa ili tupate UMAARUFU. Hatuna fikra kama tukijaaliwa...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…