To you Power Breakfast: Fumbo mfumbie mjinga, na ufumbapo usiwe mjinga! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

To you Power Breakfast: Fumbo mfumbie mjinga, na ufumbapo usiwe mjinga!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TIMING, May 24, 2011.

 1. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #1
  May 24, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Wadau,

  Jana na leo Power zbreakfast wamerusha segement yao ya kuongelea vitu kimafumbo just before taarifa ya habari ya saa moja asubuhi, naweza nisinukuu yote lakini i got the concept na nina imani ndani ya JF kuna wataalam wanoweza kuleta zile clips za ndugu yango Hando aliongea kwa msisitizo (kama kawaida yake) kuhusu watu/mtu fulani kutumia udhaifu fulani ili kupata advantage fulani

  Sina haja ya kwenda mbali kwani wao wanasema ni fumbo, mimi naweza sema machache sana kuhusu fumbo wanalodhani wao ni fumbo.

  Power breakfast ni moja ya vipindi ambayo bado viko fair sana na maturity yake iko wazi, thanks to waandaaji wa kipindi (watangazaji ni script readers tu!)

  • Kabla ya kufumba ni vyema mkawa na inside environment ya fumbo lenu otherwise mnakuwa wajinga kuliko fumbo lenyewe
  • Suala mlizungumzialo ninyi mmebeba kasehemu kwenye siasa tu, na mnajaribu kuhalalisha upembuzi wa kibiashara na kisheria!!! Ukweli ni kwamba kinachoendelea pale ni suala la kijamii zaidi!!
  • Mkae mkitambua kwamba, inapobidi au jamii inapokwazika basi binadamu hurejea ile hali aliyoumbwa nayo na Muumba, ambayo ni unyama, na unyama hauna sheria, taratibu, makubaliano, mikataba wala staha.... na hali ikifika hapo, cha maana ni kuanza kuondoa unyama huo
  • Unyama huo kamwe hauondolewi tena na sheria, tawala wala taratibu ambazo huko nyuma zilifikisha binadamu hao kuwa wanyama.... KOSA KUBWA
  • Unyama wa binadamu waliogeuzwa wanyama na tawala walizoziamini huondolewa na unyama mbadala, ambao ndio ninyi mnaulaani simply because mnapokea mishahara na kurushwa hewani... na mnapokea taarifa kutoka kwa watawala hao hao waliopelekea watu kuwa wanyama
  • Ningependa sana, muwe makini na msikurupuke kupayuka kwenye jambo ambalo tayari limeshavuka mipaka yote ya utu
  • Ni bora kukaa kimya... msubiri wa ndani waseme, hao mnaowazungumzia kama victims, si wajinga, wana elimu, wana pesa na ni wana maendeleo kuliko majority ya communities hapa Tanzania na upeo wao wa uraia ni next to none!!!

  KWAKO HANDO: SI KILA KAZI UKIPEWA BASI UIFANYE, MENGINE CHANGANYA NA YA KWAKO!!! FUMBO MFUMBIE MJINGA, LAKINI USIWE MJINGA KULIKO FUMBO KWANI KAMWE HUTAEREVUKA!!

  Suala hili aliliongelea Mkeshaji kwenye topic tofauti pia:

   
 2. k

  kISAIRO JF-Expert Member

  #2
  May 24, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,799
  Likes Received: 637
  Trophy Points: 280
  Unategemea Gerald hataongea nini yulee?Hana professional yoyote zaidi y porojo!
   
 3. m

  mbweta JF-Expert Member

  #3
  May 24, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 600
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  jaman mie nataka nijue elim za hawa watangazaji hasa wa clouds fm mana wanakelele nyingi usikute hata credit ziliwashinda.
   
 4. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #4
  May 24, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Clouds wanao mtihani mugumu maana ni lazima watimize matakwa ya boss wao na pia kuendelea na maudhui yao ya tangu mwanzo ambayo yalikuwa ni kuikosoa serikali.

  Baada ya kulambishwa kipindi cha uchaguzi wameshapoteza mwelekeo.

  Mwenye kujua professional zao atumwagie kwenye thread mpya tuanze kuwachanachana. Hawawezi kutumiwa na magamba kupinga harakati za kuikomboa nchi yet eti kwa vile wao wameshalambishwa.
   
 5. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #5
  May 24, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,269
  Trophy Points: 280
  Hili tatizo halipo clouds fm peke yake, hatakule East African redio eti Zembwela nae siku hizi ni mtangazaji! hii nchi ina mizaha sana.
   
 6. L

  LAT JF-Expert Member

  #6
  May 24, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  Kwako Joseph Kusaga ...acha kuokota okota wafanyakazi mitaani ... tumia strategic employment plan .... ujasiriamali utakushinda
   
 7. ADAM MILLINGA

  ADAM MILLINGA Senior Member

  #7
  May 24, 2011
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Cja kusoma kaka
   
 8. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #8
  May 24, 2011
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  kazi ipo
   
 9. m

  m.o.d.y Member

  #9
  May 24, 2011
  Joined: May 22, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kaka embu funguka vizuri,i got to know that issue very well.
   
 10. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #10
  May 24, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Mkuu,

  Hapa umeamua kuongea hisia live.

  Inasikitisha, lakini zaidi inatisha kuona mtu anacomment kwenye jambo ambalo hajajipa muda wa kutosha kulidigest. Mbaya zaidi, mtu anacomment wakati ishu ndio kwanza iko katika bleeding stage, wakati anajua lolote laweza kuzaliwa na maongezi yake!

  Ni kweli tunahitaji kulipwa mishahara, na kuchaguliwa wafanyakazi bora na TALGWU, lakini kuna extremes ambazo ni lazima tukubali kuwa zinahitaji wasemaji maalum!

  A silent FOOL is regarded Wise, till when he talks!
   
 11. Mwalimu

  Mwalimu JF-Expert Member

  #11
  May 24, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,475
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Ameanza mipasho ya Kibonde?
   
 12. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #12
  May 24, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Duh! Wassira amewadhalilisha sana vijana wa Tarime! Au unamaanisha sh 200elfu? Kweli sh 200 tu inaweza kumshawishi kijana akaacha kazi zake na kuishia kwenye maandamano?

  Mi sitaki kuamini kabisa. Naamini watu wanavutiwa na CDM maana wanazungumzia matatizo yanayowagusa na sio sh 200 anazosema wassira
   
 13. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #13
  May 24, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Kwa ambao hamjanielwa, kuna segment inaitwa jicho la ng'ombe (thanks Mwita)

  Hii segment huchukua topic na kuichana and to be honest it is a very good segment, tatizo naona kuna haja ya hawa vijana kuboresha wanavyoanalyse mambo kuliko kuweka vitu juu juu na kuishia kupoteza maana

  najaribu kutafuta ile clip ya leo asubuhi niiweke msikilize halafu mtaniambia
   
 14. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #14
  May 24, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sielewi chochote hapo! Kwani wamefanyaje??
   
 15. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #15
  May 24, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Hii Radio Ya ccm muda wao unahesabika
   
 16. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #16
  May 24, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  'jicho la ng'ombe' rather
   
 17. m

  m.o.d.y Member

  #17
  May 24, 2011
  Joined: May 22, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Jitahidi ndugu isichukue muda mwingi siunajua umeme wenyewe longolongo.
   
 18. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #18
  May 24, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hiyo itakuwa Pembe la ng'ombe.

  MTM fumbo mfumbie mjinga mwelevu ataling'amua.
   
 19. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #19
  May 24, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Niliwasikia vizuri lakini niliona lile bomu nikwa mwanasiasa fulani simtaji walikuwa wakimpiga fumbo kuwa kuhamakwake vyama na kuwapakazia watu haya nayale kwa manufaa yake yeye ndicho walikuwa wanaongea hayo nikutokana na mtazamo wangu mwenyewe labda siyo!!
   
 20. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #20
  May 24, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,949
  Likes Received: 1,274
  Trophy Points: 280
  sure Mheshimiwa! Thats absolutely true
   
Loading...