CCM Arusha ni vita UVCCM Waandaa maandamano ya kumtoa CHATANDA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM Arusha ni vita UVCCM Waandaa maandamano ya kumtoa CHATANDA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kipre tchetche, May 24, 2011.

 1. K

  Kipre tchetche JF-Expert Member

  #1
  May 24, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 238
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Matangazo yamebandikwa kila mahali kwenye barabara za mjini yakisomeka kuwa
  ni maandamano ya kumtoa fisadi chatanda
  pia wanadai kwenye uchaguzi wa MEA arusha aliwatukana viongozi wa Dini kwanini
  hakuchukuliwa hatua na chama pia anadaiwa ndio yeye aliyesababisha wanajeshi wakahamishwa Azimio pale Sakina ili yeye awapangishie matajiri maandamano ni tarehe 4/6/2011 je pinda na mea feki watasalimika?
  Source:mabango ya matangazo:
   
 2. bushman

  bushman JF-Expert Member

  #2
  May 24, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,312
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  wao kwa wao waache watoane ngeu,kwa sababu tungekuwa cdm wangesema tunafadhiliwa na nchi fulani waache wabutuane
   
 3. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #3
  May 24, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  tuzidi kuombea amani itawale ktk nchi yetu,pia waandamanaji muwe na kibali maalumu cha kuwaruhusu kufanya maandamano ili polisi wasije wauwa tena,maanayake sasa ni jino kwa jino
   
 4. delabuta

  delabuta Senior Member

  #4
  May 24, 2011
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hao mabasha wake wa ccm aliomfikisha hapo alipo mbona wapo kimya hawamtetei? au ndio mambo yamebana wameamua kukaa kimya? freedom is coming tomorrow. anajeuri alithubutu kutukana hata viongozi wa dini huyu mama ameolewa? au ni hayo mabasha tu wanamzingua.
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  May 24, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Suala la kuhamishwa kwa hawa wanajeshi Sakina Azimio linamsikitisha kila mtu!
  Actually, sasa hivi wanajeshi hao wanataabika mno uraiani, wamekuwa kama yatima!
  Ukichanganya na huu ukata wa sasa hivi serikalini, basi kwa wanajeshi imekuwa ni double impact!
  Imefikia wanajeshi wanaambiwa kuwa akikosa usafiri wa malori kwenda kambini, basi abaki tu nyumbani!
  Hivi Uzalendo wa jeshi letu utaimarika namna hii kweli?

  Huyu mama Chatanda ni mlevi wa madaraka, ambaye amelelewa katika mazingira (nadhani) ya unyama sana!
  Hana UTU MWANAMKE!..Amejengewa kibri sana na nguzo fulani huko juu!
  Kama maandamano haya yatafanikiwa, basi Arusha itakuwa imeondokana na EBOLA!
   
 6. H

  Hosida Member

  #6
  May 24, 2011
  Joined: Oct 21, 2008
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tunawatakia kila la kheri katika maandamano hayo kwani inaonekana yatasaidia kushinikiza wanaoingiza ubabe katika jiji letu pendwa (AR) watajifunza kwa njia iliyo ngumu. Sasa iliyobakia katika nchi yetu ni maandamano tu kwani viongozi walioko madarakani wana masikio lakini hawasikii, wana macho lakini hawaoni, wana akili lakini imeganda, wana mioyo lakini hawana hata chembe ya huruma kwa Watanzania.

  Maandamano ndo njia iliyobakia katika kudai haki Tanzania. Tutaandamana JK akome!
   
 7. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #7
  May 24, 2011
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  1`
  Penye ukweli uongo hujitenga .CCM sasa wanakubaliana na CDM kwamba MAGAMBA ni chama kilichokufa long time ago. Kumbe wao kwa wao ni maadaui .MAGAMBA jamani ? Loh
   
 8. i

  issenye JF-Expert Member

  #8
  May 24, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 1,146
  Likes Received: 989
  Trophy Points: 280
  Intelijensia inasemaje kuhusu haya maandamano? Au intelijensia ni kwa ajili ya CDM tu
   
 9. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #9
  May 24, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  yaani ccm waandamane halafu wauliwe na nani, hii inatokea kwa cdm tu..polisi hawawezi kushambulia maandamano ya ccm
   
 10. Smartboy

  Smartboy JF-Expert Member

  #10
  May 24, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,110
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Laana ya kuwatukana maasikofu inamtafuna Chatanda
   
 11. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #11
  May 24, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  police hawatoi kibari cha maandamano.police wanaombwa ili waangalie ulinzi na usalama kwa waandamanaji wasidhuliwe.nguvu inayotumika kuzuia maandamano ndo iwe inatumika kulinda maandamano.
   
 12. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #12
  May 24, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Kwani unafikiri ccm wote ni mbumbumbu, subiri uone wao kwa wao. Sio wote wako kama nape na Mukama, waka wenye fresh mind. Ila najua mwisho kabisa watatuta cdm.:A S 103:
   
 13. wasaimon

  wasaimon R I P

  #13
  May 24, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 222
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mama Chatanda kuzichukua nyumba zile za Azimio hayakuwa maamuzi yake binafsi bali ni chama ndicho kilichoamua kuchukua eneo lake na kulikodishia kwa ajili ya kuongeza kipato. Na kama ni kuandamana kwa ajili ya kusafisha chama basi na Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa nae anatakiwa aachie ngazi kwani nae anawagawa vijana na anajulikana kuwa ameweka na EL hivyo vyema akaachinga ngazi ndio magamba yenyewe hayo. Lakini vyema mkajua chanzo cha tatizo kwani kipindi mama Chatanda anaforge kwa kupiga kura za uchaguzi wa Meya Arusha alionekana ni saafi na ningewapenda zaidi endapo mgeandamana kipindi kile cha mauaji ya watu 3 ili kupinga uteuzi wa Meya Arusha, lkn nawaomba ktk mabango yenu (Siku ya maandamano) mshinikize na Meya wa ccm ajiuzuru kwani hakuchaguliwa kihalali.
   
 14. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #14
  May 24, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  What!? Ccm Arusha? You cant be serious! Bado kuna "vijana" wa ccm Arusha? Sijui! Labda sio huku nilipo! Kila tunapokutana vjana hapa Arusha sijawahi kumsikia hata m1 akisema ni mwana ccm, sasa sijui hao ni wa wapi? Labda vikongwe, si vijana! Ngoja nisubiri niwaone hiyo cku
   
 15. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #15
  May 24, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  "Ukishakula nyama ya mtu huwezi tena kuacha, utaendelea tu...., Ukilalamikia Utanganyika dhidi ya Uzanzibari utaendelea tu, maana baada ya hapo utaanza ya Unguja dhidi ya Upemba....... na kuendelea......" By Nyerere.

  Nami nasema; Ukilalamikia ya Uchadema dhidi ya Uccm huwezi kuacha, utaendelea tu... hata ya Uccm dhidi ya Uccm yatawafika tu...., na kwa kuwa walishamwaga damu za watu, hawawezi tena kuacha, hivyo wataendela tu, hadi CCM wote waishe....! Dhuluma za haki lazima ziwatafune hadi mwisho....!
   
 16. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #16
  May 24, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  wamepigwa chini in the name of Ma(k?)gamba! Sasa amebaki yatima. Laana aliyoipata kwa kuwatukana maaskofu itamfikisha pabaya maana hata pa kutubu hana. Hadi siku atakapokumbuka kuwa ni mbunge wa korogwe na sio Arusha atakuwa amekwisha kabisa!
   
 17. Maarko

  Maarko JF-Expert Member

  #17
  May 24, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,030
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Tatizo la Ccm Arusha ni viongozi wachache wanawagonganisha vichwa wengine,hayo yanayoendelea chanzo chake ni kupoteza kiti cha Ubunge 2010,Chuki,Visasi,dhuluma iliyofanyika wakati wa uchaguzi uliopita ndiyo yanayosababisha hayo yatokee leo.ni Hatari kwa wananchi wa kawaida wasio na hatia!.
   
 18. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #18
  May 24, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  nawatakia kila la kheri mfanikiwe katika hili huyu mama ni jeuri kweli majibu yake du. ila sitashangaa wakisingizia chadema kitu chochote kuhusu hili nadhani ni vizuri hao vijana wakawa na kadi kabisa wasijesema ni vijana wa chadema.
   
 19. M

  Marytina JF-Expert Member

  #19
  May 24, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  kwa nini CHATANDA asitoe uroda kwa hao wanaompinga kama kawaida yake?
   
 20. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #20
  May 24, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Hili eneo lilichukuliwa na wajeruman kisheria kabisa ili kujenga chuo kama cha Technical kwa ajili ya wasichana tu. Serikali ikafanyia hapo maonyesho ya miaka 10 ya azimio la arusha na baadae kambi ya jeshi. Sasa wameibuka ccm na kuwatimua w/jeshi wetu wakidai eneo ni lao! Huu ni wizi, ujambazi, ufisadi na upuuzi ambao hauvumiliki. Ndio maana wanalazimisha meya wao ili kufunija haya. Tutakuja kuwanyang'anya tu kama wanavyofanya Moshi sasahivi. Siku itafika tu!
   
Loading...