Katiba mpya Tanzania ni lazima .

environmental

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
1,054
137
Kutakuwa na maswali na majibu kuhusu katiba mpya kupitia redio ya demokrasia hapa washington dc ,inayoitwa wpfw .tutawatangazia ,rasmi hivi karibuni.hii redio inasikika sehemu kubwa hapa usa.tumeanza kutuma ujumbe kwa maseneta na congress man wa hii nchi.ili waone nini kinachoendelea huko tanzania kuhusu katiba ya nchi.kwani wao ndio wanaoizinisha kutoa pesa za maendeleo za nchi zote duniani.na wao wanaweza wakakata msaada.sasa mnatakiwa wote mjiandae na maswali .hii shughuli itaendeshwa kwa lugha ya kiingereza.mungu ibariki tanzania.
Tuwasiliane kwenye hii simu
202 367 2761
hima hima tanzania ,mwendo mdundo tusirudi nyuma watanzania.tuwe wakweli
 
Back
Top Bottom