tuwe na huruma na nchi yetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

tuwe na huruma na nchi yetu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by rosemarie, May 25, 2011.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  May 25, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  watanzania wote naomba tuionee huruma nchi yetu,kelele zimekuwa nyingi na inaonekana serikali haiwezi kufanya kazi zake jinsi inavyotakiwa,tunamnyima kikwete ujasiri wa kufanya kazi kwa sababu anahisi tunamdharau,maandamano ya chadema yanakwamisha uwajibikaji wa serikali ya ccm,hasara ni ya nani kama sio yetu sote,miaka mitano ni mingi sana kama mambo yataendelea hivi naona mwisho wake tutapata hasara kubwa sana.


  maoni yangu kwa taifa hili kwa muda huu ni haya yafuatayo:

  naomba tathimini ifanyike kuhusu hii serikali iliyopo madarakani,
  kama wanakubalika kwa wananchi kwa zaidi ya asilimia 50 naomba tuwaache wafanye kazi wamalize muda wao,
  kama hawakubaliki zaidi ya asilimia 50 tutafute njia za kuwatoa madarakani japo itatucost sana,
  tukiweza kuwatoa tuunde serikali yetu ya mpito itakayofanya kazi mbili peke yake,

  kazi ya kwanza iwe kuunda katiba mpya ikishirikiana na asasi zote pamoja na wanachi wote
  kazi ya pili iunde tume mpya ya uchaguzi isiyofungamana na upande wowote.
  hiyo seerikali ya mpito inaweza kufanya kazi miaka miwili tufanye uchaguzi mkuu kwa vyovyote atayepata ushindi itakuwa ni halali.  jamani muda unasogea na tunazidi kuupoteza

  thank you!!!!!!!!!
   
 2. makwimoge

  makwimoge JF-Expert Member

  #2
  May 25, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 294
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  wanajamiii
  angalieni sana watu wenye mawazo haya, lengo lao kubwa ni kututoa kwenye hoja za msingi
  MSIMJIBU LOLOTE MWACHENI MIMI NIMETOSHA KUMJIBU
   
 3. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #3
  May 25, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  makwimoge ujue napenda sana mabadiliko lakini vilevile nina haki ya kutoa maoni yangu
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  May 25, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Contradiction!

  Umetoa hoja na kuijibu mwenyewe!
  Kumbe unajua SULUHU NI KUWATOA EEH?
   
 5. STREET SMART

  STREET SMART JF-Expert Member

  #5
  May 25, 2011
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 666
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 60
  Tuna huruma na tunaipendj tz yetu ndo mana hatuwezi kuiacha mafisadi wa CCM waiteketeze huku tukiangalia tu.
   
 6. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #6
  May 25, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  solution??tuendelee na hali hii miaka mitano yote?
   
 7. STREET SMART

  STREET SMART JF-Expert Member

  #7
  May 25, 2011
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 666
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 60
   
 8. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #8
  May 25, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
   
 9. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #9
  May 25, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,982
  Likes Received: 729
  Trophy Points: 280
  Hivi hivi mpaka kieleweke,maana wanashindwa kuwajibika ipasavyo.Huna hoja wewe.
   
 10. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #10
  May 25, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,992
  Likes Received: 2,650
  Trophy Points: 280
  Naunga mkono.
   
 11. THINKINGBEING

  THINKINGBEING JF-Expert Member

  #11
  May 25, 2011
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 2,726
  Likes Received: 854
  Trophy Points: 280
  Nimekusoma dada.
  Tathmini imeshafanyika.Zaidi ya 70% haimkubali.
  Tupo kwenye mchakato wa mapendekezo yako.
   
 12. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #12
  May 25, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  kukubaliana na wewe ni kukubali haya mambo ya kuingia madarakani kimjini mjini yaendelee
  hata kama hatutakuwa na maendeleo kwa miaka mitano ni sawa maana tumekuwa hatuna maendeleo kwa miaka 50
  kwa nini leo hiyo miaka mitano inaoneka mingi sana kwako.
  kikwete hakitoka mambo yatakwenda sana. kama ufisadi ukidhibitiwa maendeleo yatakuja tu tena kwa kasi ya ajabu na kikwete sio mdhibiti ufisadi yasimeka alinufaika nao kuingia hapo magogoni 2005
   
 13. matungusha

  matungusha JF-Expert Member

  #13
  May 25, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 596
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Reforms are very important right now.
   
 14. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #14
  May 25, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  ulimkafu marie,..
  waambie wakuu wako kwamba mwendo ni
  huu huu hadi 2015,watajuta kuiba kura
   
Loading...