Diwani wa kata ya Urugu ndugu Simon Tyosela kupitia chadema na mwenyekiti wa chadema ndugu Abdala athuman pamoja na wanachama wengine wa chadema ndugu Samwel Nalogwa na Samson Mayagila wameihama...
Kwa upande wake, Mhashamu Askofu Ndimbo alitaka busara zitumike katika mchakato wa kuwapo kwa Katiba mpya nchini, kwa pande zote zinazohusika. Alizungumza hayo wakati Rais Kikwete alipokuwa mmoja...
ndomana sijutii kuhama chadema na kuja ccm.cdm wahuni wengi na siwavumiliv katika siasa za ushindani si wastaarabu. lazima tuseme kweli kama zito kabwe kuwa " ccm inamazuri na si kila kitu kibaya...
6th June 2011
Hakuna nyumba za kuwapa
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Shamsi Vuai Nahodha.
Ule ukwapuaji wa nyumba za serikali zilizokuwa rasmi kwa makazi ya...
Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Salma Kikwete, amesema ushindi wa Kikwete katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka jana hauna dosari kama baadhi ya vyama vya siasa vinavyotangaza.
Alitoa...
Nashindwa kuelewa hapa Watanzania, wenzetu CCM wanakata mikutano ya hadhara bila shida kabisa, CDM wakifanya tu wanakamatwa! kulikoni? Inabidi na Na Nnauye wamkamate, wakishindwa tunaweza...
Wakuu Salaam.
Kamati Kuu ya dharura ya CHADEMA kukaa kesho kwa mujibu wa Katiba kwaajili ya kupitisha Wagombea nafasi mbalimbali katika Baraza la Vijana CHADEMA(BAVICHA).
Siku ya kesho ndio...
Ndugu wananchi wote mmeshuudia jeshi la police wakiua watu kama mambwa koko, hakuna matamko yanayotolewa na viongozi wetu kwa maana njingine wanaunga mkono mauaji hayo hivyo basi kitendo cha...
Rais Kikwete hali akijua kinachoendelea nchini, na khofu katika nafasi za matuko kama lile la kuwekwa wakfu na kutawazwa askofu wa Jimbo Katoliki la Mbinga kunaweza kutolewa tamko la kanisa juu ya...
Ukishindwa kufikirisha kichwa chako unakuwa mjinga, ukishindwa kuchambua mambo yanayokuzunguka unakosa sifa ya kutokuwa mwerevu lakini pengine huwezi kuitwa mjinga lakini unaposhindwa kufikirisha...
Hii kali ya mwaka mafisadi wameiba ma billion ya fedha hata kuulizwa serikali inawaogopa huyu mbowe hata senti tana ajachakachua kasekwa rumande na jeshi la polisi kutumia gharama kubwa kumlinda...
Watu wengi tumekuwa tukiwalaumu sana polisi na vyombo vya usalama kwa mambo wanayofanya. Mie naona sio kosa lao, maana hata wao hujuta wanapofanya mambo ambayo baadae jamii ya wastaarabu na dunia...
According to available evidence from both BRELA and the Bank of Tanzania, Kagoda was officially registered on September 29, 2005, and given Certificate of Incorporation Number 54040. The...
Jana niliona wachina wanamkabidhi shule ya msingi, kwanini hakwenda waziri wa maswala hayo, ili yeye ashughulikie maswala ya kitaifa mf. Umeme, migomo ya wahadhiri na wanafunzi? Yaani anaona hiyo...
Ndugu zangu,
Ukitaka kujua roho ya nchi, nenda kijijini- Mahtma Ghandi. Na mwaka 2004 nilipata kumsikia mwandishi mahiri, Ngugi wa Thiongo akitamka pale Chuo Kikuu cha Dar es Salaam...
tunaweza kusema democrasia yetu haijakomaa au imekomaa kuzidi za watu wengine,kwanini nchi zetu za Afrika chama tawala kina kiandama chama pinzani kwa kikirekebisha na badala ya kutoa muongoza...
Naanza hoja yangu kuangalia msimamo wa chadema kwa CUF na kueleza ukweli kuhusu caolition governments
Maana yake:
A coalition government is where two or more political parties join together in...
Something like a political crisis is taking place in Tanzania . But don't hold your breath: it is simply a big circus – played by demagogic politicians, gluttonous businessmen and...