Chama tawala kuvinyanyasa vyama pinzani

FRANKLIN

Member
Jun 26, 2009
19
0
tunaweza kusema democrasia yetu haijakomaa au imekomaa kuzidi za watu wengine,kwanini nchi zetu za Afrika chama tawala kina kiandama chama pinzani kwa kikirekebisha na badala ya kutoa muongoza bora kwa jamii husika. kwa mfano nchi jirani ya Uganda chama tawala kina nyanyasa chama pinzani kwa kuonyesha uzaifu uliokisili nchini bila ya kutolewa ufumbuzi yakinifu na serikali iliyoko madarakani. jamani wanzangu nisiidieni je hapa ni democrasia iliyoendelea amatunakwanda kinyume na maana harisi ya demaocrasi asanteni mimi nashuka jukwaani.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom