Makamu BAVICHA akamatwa na kusekwa rumande Oyesterbay

JOHN MADIBA

JF-Expert Member
Jan 30, 2011
251
155
Hivi hii serikali ya ccm inataka nini nini? Wamechakachuia tumenyamaza, wameua arusha tukakaa kimya, wamemkamata mbowe tumenyamaza, wameua, wamemkamata mbowe tumenyamaza, sasawamewakamata vijana wa bavicha makamu a bavicha juliana. According to john mnyika dakika 10 zilizopita ametuabarisha tukio hili na wamewapeleka kituo cha oyesterbay
 
More Inf pls...wamefanya nini??
 
Kikwete anakula bata tu hatoi tamko lolote!
Hamaliza mwaka lazima atang'oka ikulu!
 
If its true amefanya kosa gani? Pia wana CDM hatuko juu ya sheria kama Mheshimiwa alitakiwa mahakamani akakaidi amri halali na akajisalimisha sioni kama kuna tatizo...kushikiliwa si kufungwa , na kama alikamatwa tu bila kosa lolote hapo ndio tuongee

Ni mimi mshabiki huru...
 
Tupeane basi habari kamili mbona mnatoa nusu nusu,kisa nini???
 
hii inakuaje wadau?? sababu ni nini zaidi?? hebu tujuzane vizuri kabla jazba hazijatupanda wengine
 
Sababu wanajidai wao wapigananji wakati chama chao kimesajiliwa ni cha kisiasa. Wangeenda kuomba leseni za upiganaji, wao walikosea walijiandikisha kama chama cha siasa, sasa upiganaji na siasa wapi na wapi?
 
Polisi vibaraka wa ccm wanadai wanahamasisha wananchi waandamane wakamtoe mbowe, walichakachua tukanyamaza sasa wanahitaji special displine. JE SABABU HIZI SIO KUKIKANDAMIZA CHAMA KILICHOSAJILIWA KWA MUJIBU WA SHERIA.
more inf pls...wamefanya nini??
 
Ok Stori ipo hivi:Tulianza maandamano Makao makuu ya Chama chetu Chadema pale Kino,tukashuka na ile barabara inayoelekea Magomeni Hospitali,kufika pale kwenye Mataa
karibu na Ile Filling Station iliyopo karibu na Travertine Kukawa na Defender Moja ya Askari(Watoto wa Maskini wenzetu),mara tu tulipo kata kona na kuifuata Morogoro road kuelekea Ubungo ndipo Polisi walipoanza Kupiga Hewani Risasi za Moto nyingi kupindukia!!
Kabla hawajaanza kufyatua huyo Makamu mwenyekiti alikuwa umbali mfupi sana kutoka nilipokuwa Mimi,baada ya kufyatua risasi nyingi kila mtu alishika njia yake kwa mbio sana!!

Nafikiri yeye alikuwa Miongoni mwa waliokuwa hawana Mbio sana!!

Hata hivyo,ni dhahiri kwamba Siku za Ccm zimehesabika!!
 
wewe ni gamba
 
baada ya kufyatua risasi nyingi kila mtu alishika njia yake kwa mbio sana!!

Nafikiri yeye alikuwa Miongoni mwa waliokuwa hawana Mbio sana!!
!

Hahahahahaha....mbavu zangu mie, kwani mlikwenda kushindana kukimbia?
 
Kama wana makosa lazima wawajibishwe kwani kuwa makamu bavicha haina mana kuwa yuko juu ya sheria ili ajifanyie anavyopenda. No
 
Hahahahahaha....mbavu zangu mie, kwani mlikwenda kushindana kukimbia?
Polisi walitumia Nguvu kupita kiasi,WAlLIFYATUA RISASI ZA MOTO NYINGI MNO KWA WAKATI MMOJA NA BAADA YA HAPO NDIYO WAKATUMIA MABOMU YA MACHOZI!!
Hatukuwa na Mapanga wala Silaha ya aina yeyote,Ghafla wakaanza kutushambulia,Laiti tungekuwa na Silaha kama wao,Ya Libya yangekuwa madogo!!
 
Ok Stori ipo hivi:Tulianza maandamano Makao makuu ya Chama chetu Chadema pale Kino,tukashuka na ile barabara inayoelekea Magomeni Hospitali,kufika pale kwenye Mataa
karibu na Ile Filling Station iliyopo karibu na Travertine Kukawa na Defender Moja ya Askari(Watoto wa Maskini wenzetu),mara tu tulipo kata kona na kuifuata Morogoro road kuelekea Ubungo ndipo Polisi walipoanza Kupiga Hewani Risasi za Moto nyingi kupindukia!!
Kabla hawajaanza kufyatua huyo Makamu mwenyekiti alikuwa umbali mfupi sana kutoka nilipokuwa Mimi,baada ya kufyatua risasi nyingi kila mtu alishika njia yake kwa mbio sana!!

Nafikiri yeye alikuwa Miongoni mwa waliokuwa hawana Mbio sana!!

Hata hivyo,ni dhahiri kwamba Siku za Ccm zimehesabika!!

mukama, siku za hao mafisi haziwez zikahesabika kwa sisi kusikia milio ya gun na kila mmoja wetu anachukua njia yake. Tukomae, milio ikizidi tunakaa chini. Lakn kukimbiaa, siungi mkono.
 
Back
Top Bottom