Kikwete Makanisani sasa funika kombe mwanaharabu apite

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,890
6,896
Rais Kikwete hali akijua kinachoendelea nchini, na khofu katika nafasi za matuko kama lile la kuwekwa wakfu na kutawazwa askofu wa Jimbo Katoliki la Mbinga kunaweza kutolewa tamko la kanisa juu ya serikali kutokana na hali tete inavyoendelea nchini, ameamu kwenda hudhuria ili kutia kiwingu cheusi maaskofu wasiteme cheche.
 
alipokuwa Lindi mjini wakati wa kampeni ambapo CUF ina nguvu maeneo hayo aliuliza swali moja la ajabu sana mpaka hii leo najiuliza alikuwa na maana sipati jawabu aliuliza CUF wananibagua mimi kwani mimi ni JOHN ?, nina hamu nimuulize Rais siku moja kuwa alikuwa na maana gani yaani JOHN ndio ana haki ya kubaguliwa ? au vipi? ninavyofahamu mimi ubaguzi ni kitu kibaya haijalishi kama mhusika ni mkristo au mwislamu.
 
Hata! Tatizo lake sio John. Jibu lako ni rahisi sana. Kwani si Wabongo (magamba na CDM) mkiwaita CUF ni chama cha Waislamu? Basi kwake bado haijatoka hiyo kuwa CUF ni Waislamu.
 
Nimewahi kuona maandamano ya CUF wanaume wanakua mbele wanawake waliojitanda shungi na kanga wanatembea nyuma...Hii niliiona kama vile imekaa kimwelekeo wa kidini zaidi. Kuna aonaye tofauti na mtazamo wangu kwenye hilo?
 
alipokuwa Lindi mjini wakati wa kampeni ambapo CUF ina nguvu maeneo hayo aliuliza swali moja la ajabu sana mpaka hii leo najiuliza alikuwa na maana sipati jawabu aliuliza CUF wananibagua mimi kwani mimi ni JOHN ?, nina hamu nimuulize Rais siku moja kuwa alikuwa na maana gani yaani JOHN ndio ana haki ya kubaguliwa ? au vipi? ninavyofahamu mimi ubaguzi ni kitu kibaya haijalishi kama mhusika ni mkristo au mwislamu.

Kwa wanaopenda kutunza kumbukumbu hoja hiyo ni dhana muhimu kurudufiwa katika kumbukumbu ikiwa ni kielelezo dhahiri cha udini alio nao Kikwete
 
Wazee wa magomen walimuuliza jk,mbona wakristo wanapeta? Akasema jaman mi baba alipokufa mi nirirudi huku kwenye wakristo,ukoo ulitukabidhi kwa mzee mkristo ndiye aliyetulea. Nimesoma shule za mission na za mapadre mpaka hapa nilipo! Ivi leo mnasema nipishane nao? naanzaje? Na kweli jk huingia makanisani kila anapopata muda kwa sherehe mbali mbali,kaanzia mwanza,rukwa,bkb ,dodoma na kwingneko. Anatambua kuwa hawa watu ndo msingi mkuu. Hapa pale alipo naona ana saa imeandikwa saa 12:02 ambao ni muda wa saa ivi,alaf tar 6/6/2011. Tarehe iyo si hali mradi anaadhimisha miaka 2011 ya uwepo wa Yesu Kristo tangu mwaka 0 alipozaliwa Bwn.YESU. JK anaelewa ukweli huu.
 
Utanitambuaje kama nimeookokaaaaaaaaaa?
 
Rais Kikwete hali akijua kinachoendelea nchini, na khofu katika nafasi za matuko kama lile la kuwekwa wakfu na kutawazwa askofu wa Jimbo Katoliki la Mbinga kunaweza kutolewa tamko la kanisa juu ya serikali kutokana na hali tete inavyoendelea nchini, ameamu kwenda hudhuria ili kutia kiwingu cheusi maaskofu wasiteme cheche.

Kama kiongozi wa nchi, sikutegemea matamshi aliyotoa kuhusu viongozi wa dini kutoka kwake.Watu hawa ni wanadamu kama wanadamu wengine,kwa hiyo wanakengeuka.Bila shaka sio viongozi wote wa dini wanaojishuhulika na uuzaji wa unga.Kwa hiyo wale ambao ni wauza unga wangeshuhulikiwa kama wahalifu wengine.Kutoa matamshi kama aliyotoa,utafikiri viongozi wote wa dini ni wauza unga, sio busara hata kidogo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom