Hesabu za CHADEMA ktk kuichukua Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hesabu za CHADEMA ktk kuichukua Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nyami2010, Jun 5, 2011.

 1. Nyami2010

  Nyami2010 JF-Expert Member

  #1
  Jun 5, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 227
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  WanaJF

  Ninaamini CHADEMA kwa mahesabu hamjambo!

  CDM, nani kawafundisha hizi hesabu??????

  CCM, wenzenu ni wanamahesabu tafuteni njia nyingine!
   
 2. Freetown

  Freetown JF-Expert Member

  #2
  Jun 5, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hapa natoka na zero somo halijaeleweka kabisa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! afaadhali ya f'(x) =dy/dx
   
 3. u

  umtwale Member

  #3
  Jun 5, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  unanikumbusha enzi za mhogo mchungu na kaole_inaonekana wewe wa kitambo kidogo, vijana wameozoea kusoma summary za akina nyangwine hawatakuelewa_weka waz uwasaidie(summary) hawatak kuchoka kwa kufikir
   
 4. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #4
  Jun 5, 2011
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  The thread is too flat, especially when X = constant, (same old party, same old ideas, same mentality, same vision) then f'(x) = dy/dx = 0. As far as CCM will continue to have people of the kind of the one who started this thread then everything will remain flat, no development, no though more than power retaining by any means to ensure the continuation of their welfare life for "magambas" by receiving payments for no results on the job. That is, Load doesn't produce motion (Force x Distance = 0, as Distance =0), then Job done = 0.

  Where Force = f(maisha bora, maendeleo, ukuaji wa uchumi, utawala bora, kupiga vita ufisadi, kuwajibika kwa wananchi etc) and
  Distance = CCM,
  so mathematically CCM = 0 for betterment of Tanzania
   
 5. Nyami2010

  Nyami2010 JF-Expert Member

  #5
  Jun 5, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 227
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Yote yanayotokea kati ya CDM na Serikali ya Mh. J.K yamepigiwa mahesabu kweli kweli.

  Mh. Mbowe si kwamba hakujua kuwa atakamatwa na polisi kwa kukiuka amri ya mahakama

  Mh. Zitto kuendesha mkutano muda mbovu kama huo si kweli kwamba hakujua litakalotokea

  Jiulize, ni kwa nini Dr. Slaa na wenzie walijiwahi Arusha mahakamani na Mh. Mbowe akapuuza?

  CCM na serikali yake sidhani kama kweli hawajalijua hili............

  Dr. Slaa na wenzie hivi sasa wamejifungia toka asubuhi wako wanaendelea na mipango.............
   
 6. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #6
  Jun 5, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  hivi hizi hesabu zinasemaje haswa
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  Jun 5, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,436
  Likes Received: 19,789
  Trophy Points: 280
  nina wasi wasi na elimu yako, wewe hata kama una elimu inaweza ukawa ulifoji vyeti au uliinunua believe me. Zitto jana kamaliza mkutano saa 12 but hata hivyo walimkamata .angalia mlolongo mzima wa kukamatwa kwa hawa wanaharakaiti na ndio uje na thread kama hii na usiweke ushabiki mbele mimi mwenyewe sio chadema mimi ni DP .
   
 8. J

  Jenifa JF-Expert Member

  #8
  Jun 5, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 603
  Likes Received: 193
  Trophy Points: 60
  wanafikiri watakuwa mandela wa tz kwa kukamatwa kamatwa
  wahuni hawa na akili ya mbayuwayu
  waende wakaandamane wapate bakora zao
   
 9. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #9
  Jun 5, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  How is the weekend Ivuga,long time
   
 10. vunjo

  vunjo Member

  #10
  Jun 5, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 93
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  Jenifer uwezo wako wa kufikiri ni finyu sana unaona bora kunyonywa kuliko kupigania haki yako.Nahisi una vitenge vile wanavyovigawa wana magamba vyenye picha ya kubwa la magamba.
   
 11. Nyami2010

  Nyami2010 JF-Expert Member

  #11
  Jun 5, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 227
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ivuga

  Kwa vile sijakukuna unavyotaka ndo maana unakuja na lako?

  Watanzania makini wanafuatilia nyendo zenu kwa karibu kuliko unavyodhani!

  Mwisho wa siku, mbivu na mbichi zitajulikana!
   
 12. Freetown

  Freetown JF-Expert Member

  #12
  Jun 5, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  jenifa jina zuri lakini post mbofuuuuu
   
 13. mgen

  mgen JF-Expert Member

  #13
  Jun 5, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 15,171
  Likes Received: 1,900
  Trophy Points: 280
  Saaa, ya ukombozi! ni sasa Tanganyika!
  yooote aliyo nena yanatimia.
  mafisadi na ma********* muandae magodoro segerea ili nguvu ya umma ikiwagalambukia na kuwasweka huko mlalie badala ya virago vyenye kunguni vilivyopo sasa!
  Huyu aliku shujaa Tikila au bia ya safari.
  Na ataandikwa na historia ya nchi!
   
 14. Omuregi Wasu

  Omuregi Wasu JF-Expert Member

  #14
  Jun 5, 2011
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 753
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Umekurupuka kuleta hii post yako haina mashiko!!
  Unajua taratibu za kukamatwa mbowe na zitto? Unajua jinsi kikwete alivyohutubia hadi usiku na hakukamatwa!!!!
  Upuuzi wako peleka kwa CCM wenzio wenye ugonjwa wa kluanguka na kushindwa kufikiria
   
 15. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #15
  Jun 5, 2011
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,464
  Likes Received: 1,403
  Trophy Points: 280
  Muanzisha mada pole sana, mada nzuri inaeleweka ila inaonyesha jinsi gani watu wasivyotaka kusoma kitu na kukielewa
   
 16. k

  kasimba123 JF-Expert Member

  #16
  Jun 5, 2011
  Joined: Apr 18, 2010
  Messages: 1,318
  Likes Received: 188
  Trophy Points: 160
  bajeti ndio chanzo cha kukamatwa
   
 17. Chilipamwao

  Chilipamwao JF-Expert Member

  #17
  Jun 5, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 514
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Inaonekana umesafiri kwenda mwezini, huna akili
   
 18. Chakunyuma

  Chakunyuma JF-Expert Member

  #18
  Jun 5, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 811
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  sijaelewa kabisa labda ifanyie restructuring ili ieleweke.
   
 19. Revolutionary

  Revolutionary JF-Expert Member

  #19
  Jun 6, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 457
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Umenikuja sana mkuu, hesabu zimeenda shule! Tunachotaka Tz ni CCM itoke madarakani. Period!
   
 20. F

  FUSO JF-Expert Member

  #20
  Jun 6, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,866
  Likes Received: 2,339
  Trophy Points: 280
  wanajua njia moja tu iliyotumika enzi za ukoloni za kuwabambikizia watu kesi ili badala ya kufanya shughuli za chama wawe kila kukicha wanaelekea mahakamani.

  Hii yao ni ya ki longi sana, ilitumika enzi za wapigania uhuru miaka ile kwa mfano kina Mandela, Samora, Nkurumah na wengineo....

  Kwa hili ni kupaisha mwenyekiti wa wanyonge juu, juu zaidi.
   
Loading...