CCM wakifanya mikutano hawakamatwi CDM wakifanya mikutano wanakamatwa! kulikoni? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM wakifanya mikutano hawakamatwi CDM wakifanya mikutano wanakamatwa! kulikoni?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Radio Producer, Jun 6, 2011.

 1. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #1
  Jun 6, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Nashindwa kuelewa hapa Watanzania, wenzetu CCM wanakata mikutano ya hadhara bila shida kabisa, CDM wakifanya tu wanakamatwa! kulikoni? Inabidi na Na Nnauye wamkamate, wakishindwa tunaweza kumkamata sisi!:majani7::shut-mouth:
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Jun 6, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 22,007
  Trophy Points: 280
  CCM is above the law
   
 3. M

  Marytina JF-Expert Member

  #3
  Jun 6, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  kukamatwa kwa CDM kunasaidia kuongeza hasira
   
 4. Logo

  Logo JF-Expert Member

  #4
  Jun 6, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 588
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ila tanzania imekaribia sana kuifikia Libya, Yemen, Tunisia nk yaani bado kidogo sana!
   
 5. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #5
  Jun 6, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  This is selective memory! CDM wametoka kufanya mikutano kanda ya ziwa (uninterrupted) wakaenda kanda ya nyanda za juu wakapiga mikutano (uninterrupted) na kwa ujumla wakasema wamefikia watu katika vijiji zaidi ya 475. Wakati huo kule Mbeya ikawa inaendelea Twanga Kote Kote. Sasa hiyo mikutano ya Singida and I don't where ndo sasa inageuka kuwa ni msingi wa hoja hii tasa? Have you gone deeper to establish the source of the recent crack down?
   
 6. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #6
  Jun 6, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Comparing the incomperable!
   
 7. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #7
  Jun 6, 2011
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Kabisa Mkuu nakubaliana nawe....."Coming Soon"
   
 8. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #8
  Jun 6, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Sasa hawa maswaiba wakija kutolewa madarakani si itabidi na serikali yote ifanyiwe marekebisho
   
 9. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #9
  Jun 6, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Kama Arusha inasemekana sasa hivi wako tayari kwa kile kinaitwa Yemen
   
 10. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #10
  Jun 6, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Mkuu jipange kukimbilia Rwanda teh teh teh
   
 11. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #11
  Jun 6, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Hata kama wangekamata mtu kwenye mkutano mmoja tu yatosha kuwepo kwa hii thred, kwanini Nape hakamatwi wakati nayeye anachochea vurugu kwa kuisema vibaya chadema?
   
 12. Gelange Vidunda

  Gelange Vidunda JF-Expert Member

  #12
  Jun 6, 2011
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 312
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Jiulizeni kwa nini kakamatwa kwanza kabla ya kutoa stetimenti kama hiyo hapo juu ya topiki hii.
   
 13. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #13
  Jun 6, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Lini wataondoka sasa na wananchi ndio wanao wapenda ? 2015 wembe ule ule wa ushindi
   
 14. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #14
  Jun 6, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Huna hoja hapo wewe, Zitto amekamatwa kwa kurefusha muda na wala sio maneno aliyosema
   
 15. M

  Murrah Senior Member

  #15
  Jun 6, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 191
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kukamatwa ndiyo mtaji wa siasa wenyewe e,g leo JK na mbowe jamii inasupport CDM wanajitolea kufa na kupona 2015 IKulu
   
Loading...