Diwani wa CHADEMA na wafuasi wake wahamia CCM Iramba Singida

ACHEBE

JF-Expert Member
Mar 14, 2008
348
76
Diwani wa kata ya Urugu ndugu Simon Tyosela kupitia chadema na mwenyekiti wa chadema ndugu Abdala athuman pamoja na wanachama wengine wa chadema ndugu Samwel Nalogwa na Samson Mayagila wameihama rasmi CHADEMA na kujiunga na CCM. Taarifa zaidi nitawaletea.
 
Kuhama hama ni tabia binafsi ya mtu na ukiwafuwatilia watu wa namna hii utagundua tu hawawezi tulia mahali pamoja mpaka maslahi yao binafsi yatakapotimia. Hata hivyo CDM haiwezi kutoa statistics za wanachama wa CCM wanaohamia CDM kwani ni wengi kuliko wanaotoka CDM. Tunategemea vigogo wengi zaidi wa CCM ku-defect kwani siku si nyingi mtajua wananchi wanatoa support wapi .
 
Hongera wanangu wee hongera nasi tuhongeree wee hongera. Kwa majina, unastahili sifa mtoa habari, waseme hao wote walikuwa mamluki!

Hao ni watu wenye busara, wameshaona kuwa cdm inawapeleka pabaya ikiwa hata mwenyekiti anataka kutotii amri ya mahakama, itakuwaje waendelee kuburuzwa na siasa za mapigano?
 
yale yale , ya kutumia njia ya chini kufikiria ujinga, acha umbatia wewe
Hongera wanangu wee hongera nasi tuhongeree wee hongera. Kwa majina, unastahili sifa mtoa habari, waseme hao wote walikuwa mamluki!

Hao ni watu wenye busara, wameshaona kuwa cdm inawapeleka pabaya ikiwa hata mwenyekiti anataka kutotii amri ya mahakama, itakuwaje waendelee kuburuzwa na siasa za mapigano?
 
Tatizo la baadhi ya watu hapa JF wapo ki CDM zaidi, hivyo wanakereka na hali halisi iliyoko field. Jamani siasa inahitaji uvumilivu, ukicheka leo kesho utanuna lazima ujue vyote kucheka na kununa. Lakini habari ndo hiyo diwani wenu aliyechaguliwa na wananchi kasepa. poleeeeeeeeeeeeeeeni wan CDM.
 
Hongera wanangu wee hongera nasi tuhongeree wee hongera. Kwa majina, unastahili sifa mtoa habari, waseme hao wote walikuwa mamluki!

Hao ni watu wenye busara, wameshaona kuwa cdm inawapeleka pabaya ikiwa hata mwenyekiti anataka kutotii amri ya mahakama, itakuwaje waendelee kuburuzwa na siasa za mapigano?

Nape, Sita na Mwakyembe wote ni wafuasi hai wa CCJ mbona hushangilii, au siku hizi chama magamba mnaruhusu uanachama wa vyama viwili? Kama mtu anaendekeza njaa zake mwache aende CHADEMA iko imara sana.
 
Hakika ccm ni nyumbani kwao na ninahakika watarudi wooote ikiwemo katibu wao.warudi tujenge nchi kwa pamoja.huyo diwani anastahili pongezi nyingi sana maana kana kwamba amepata ufunuo flani hivi.ccm oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee !
 
Hongera wanangu wee hongera nasi tuhongeree wee hongera. Kwa majina, unastahili sifa mtoa habari, waseme hao wote walikuwa mamluki!

Hao ni watu wenye busara, wameshaona kuwa cdm inawapeleka pabaya ikiwa hata mwenyekiti anataka kutotii amri ya mahakama, itakuwaje waendelee kuburuzwa na siasa za mapigano?

Unaandika as if unaishi Mbinguni, CCM wao wanahehsimu sheria? wangekuwa wanaheshimu sheria wangeua watu huko Tarime? unamaana uliziba masikio na pamba uliposikia Mbowe alijipeleka mwenyewe polisi? yaelekea wewe ni mtu ambaya kizazi chenu kinanufaika na huu utawala dhalimu wa CCM lazima utetee mkate wako la sivyo utakuwa unalala wapiga miyao
 
ulitoka kuk . . . .lew ndo ukaja kujibu hii mada? Utakufa wewe usipende huo mchezo wachafu
hao kuanzia damu hadi hela yao!
 
Diwani wa kata ya Urugu ndugu Simon Tyosela kupitia chadema na mwenyekiti wa chadema ndugu Abdala athuman pamoja na wanachama wengine wa chadema ndugu Samwel Nalogwa na Samson Mayagila wameihama rasmi CHADEMA na kujiunga na CCM. Taarifa zaidi nitawaletea.

Hizi siasa za kuchumia tumboni kazi kweli kweli utafikiri alivyokuwa anagombea huu udiwani a,lizibwa macho
 
Huyu diwani nadhani jazba na hasira ndizo zilikuwa zimemkimbiza ccm sasa amegundua kuwa alifanya makosa makubwa amerudi nyumbani.haya ni mafanikio ya kujivua gamba kwa ccm na ni kazi ya nape kwa kuwaelimisha wananchi hatua zilizochukuliwa na chama chake juu ya kupambana na ufisadi na udhalimu.wote tukikiunga mkono chama cha mapinduzi tutapiga hatua kubwa kimaendeleo hakika nakuhakikishia.diwani wa chadema na wafuasi wake wanastahili kuigwa na wote wapenda maendeleo na wanaoona ukweli.
 
Diwani wa kata ya Urugu ndugu Simon Tyosela kupitia chadema na mwenyekiti wa chadema ndugu Abdala athuman pamoja na wanachama wengine wa chadema ndugu Samwel Nalogwa na Samson Mayagila wameihama rasmi CHADEMA na kujiunga na CCM. Taarifa zaidi nitawaletea.

kama ni kweli acha waende maana CDM inahtaji watu wenye moyo safi wa kukitumikia Chama.Watu wenye akili kama za kwao hatwatakiwi kabisa maana ni mzigo.
 
Haina shida amewapa CDM nafasi ya kufanya mikutano zaidi wakati wa kampeni. Cdm lazima wataweka gear kubwa wakati wa uchaguzi huo mdogo ndo itakuwa nafasi ya bure ya CDM kufanya mikutano bila kibali cha polisi maana ni wakati wa kampeni. ccm lazima ile kwao, LISU,Lema, Dr na Mbowe lazima wafike kwenye kata hiyo ilikuhakiksha wanasambaratisha kila kitu. CCM wanaweza kuja kujutia kumnunua huyo jamaa!
 
Kwa spidi hii ya nape tutegemee wengi kurudi ccm.maana upotoshaji ulikuwa mwingi sana.harafu suala la nape kuwa ccj halina mashiko kabisa mbona dk, sialaa alikuwa ccm?.unaweza kusema huo ni ugeugeu?.tuache propaganda za ajabu tujikite kwenye mada diwani wa chadema arudi ccm na wafuasi wake...nionavyo huu ni mwanzo na mvua za rasharasha..tsunami yaja.
 
Diwani wa kata ya Urugu ndugu Simon Tyosela kupitia chadema na mwenyekiti wa chadema ndugu Abdala athuman pamoja na wanachama wengine wa chadema ndugu Samwel Nalogwa na Samson Mayagila wameihama rasmi CHADEMA na kujiunga na CCM. Taarifa zaidi nitawaletea.

Asante kwa taarifa njema, sasa kiama cha chadema kimeanza. Nape fanya mambo mkuu. waswahili tunasema Chadema mtalijua jiji, kama mmekuja na ndala basi tutawapa viatu, kama alivoshonewa suruali kwa mara ya kwanza nyerere hapa mjini. Nauliza chadema kipi kati ya vifuatavyo mnachokiweza 1. Siasa 2 Vurugu.
 
Kwa spidi hii ya nape tutegemee wengi kurudi ccm.maana upotoshaji ulikuwa mwingi sana.harafu suala la nape kuwa ccj halina mashiko kabisa mbona dk, sialaa alikuwa ccm?.unaweza kusema huo ni ugeugeu?.tuache propaganda za ajabu tujikite kwenye mada diwani wa chadema arudi ccm na wafuasi wake...nionavyo huu ni mwanzo na mvua za rasharasha..tsunami yaja.

baeleze
 
Back
Top Bottom