Washauri wa Rais wanamdhalilisha, au hashauriki?

Nyange

JF-Expert Member
Mar 25, 2010
3,516
1,865
Jana niliona wachina wanamkabidhi shule ya msingi, kwanini hakwenda waziri wa maswala hayo, ili yeye ashughulikie maswala ya kitaifa mf. Umeme, migomo ya wahadhiri na wanafunzi? Yaani anaona hiyo ndo isue ya kufanya?
 
Yawezekana ikawa ni kwa sababu ya mojawapo kati ya haya yafuatayo:

1. Hashauriki
2. Hakuna wenye uwezo wa kutoa ushauri mwanana
3 Ameona Waziri wa elimu hafai katika hilo
4.Ni kawaida ya wanasiasa "KUUZOA" ukizingatia kwamba kule ndiyo home kwao
5. Rais hajawa occupied na serious national business hivyo hakukuwa na jambo la yeye kulishughulikia akaona aende huko
6. There is a hidden motive
7. n.k
 
Rais wenu ni omba omba..........hata kwenye hotuba zake nyingi alikuwa anazumzia wafadhili zaidi.........
Pia ni muuza sura..........
Mi nahisi hashauriki........
 
Jana niliona wachina wanamkabidhi shule ya msingi, kwanini hakwenda waziri wa maswala hayo, ili yeye ashughulikie maswala ya kitaifa mf. Umeme, migomo ya wahadhiri na wanafunzi? Yaani anaona hiyo ndo isue ya kufanya?

Let's cut the bull and call a spade by its real name.
Huyu jamaa is an i$%#@t....as simple as that.
 
Let's cut the bull and call a spade by its real name.
Huyu jamaa is an i$%#@t....as simple as that.

utasikia anaongea na wazungu huku akitoa taarifa ya Tz uchumi kukua kwa asilimia 6
 
sasa kama uwezo wa kufikiri unaishia hapo afanye je? kwa upande wangu naweza sema washauri zero yeye sufuri.....
 
Jana niliona wachina wanamkabidhi shule ya msingi, kwanini hakwenda waziri wa maswala hayo, ili yeye ashughulikie maswala ya kitaifa mf. Umeme, migomo ya wahadhiri na wanafunzi? Yaani anaona hiyo ndo isue ya kufanya?

Si bora hiyo ya kufungua shule ya msingi...je kuweka jiwe la msingi choo! Kwa nini9 usidhraulike

The problem with this president he is so cheap to fame, anatafuta sana umaarufu na kila mahali kuandikwa jina lake
.

Hata leo ukimtumia barua aje kuzindua fance ya nyumba yake maadam umefagilia kidogo na kuahidi kuandika jina lake kwenye ukuta wa fance atakuja tu
 
mwaka mmoja uliopita mtungi wa gas ulikua TZS 32,000 leo mtungi wa gas ni 65,000 halafu rais wa TZ katika hotuba yake anakwambia mfumuko wa bei na 5.5% hahahahaaaa
 
Anaweza kuwa anatumia usemi usemao"kila mbuzi anakula urefu wa kamba yake"so lazima ahudhurie huko ajipatie migomo(...)
 
Jana niliona wachina wanamkabidhi shule ya msingi, kwanini hakwenda waziri wa maswala hayo, ili yeye ashughulikie maswala ya kitaifa mf. Umeme, migomo ya wahadhiri na wanafunzi? Yaani anaona hiyo ndo isue ya kufanya?
hashauriki-kama unakumbuka-alishajisikia vibaya akiwa jukwaa-ikabidi apumzishwe kwanza-baada ya kuunga safari-na bada ya hapo alikiri kuwa washauri wake walimshauri lakini yeye akagoma-kwa hio inawezekana kabsa akawa anaendekeza hio tabia yake
 
2005 mlisema huyu ndiye tulikuwa tunamsubiri, 2010 hatufai sijui sasa mtasemaje? YEYE APETA TU.

Kwa nayejua GPA yake tunaweza kubaini ana IQ kiasi gani
 
Jana niliona wachina wanamkabidhi shule ya msingi, kwanini hakwenda waziri wa maswala hayo, ili yeye ashughulikie maswala ya kitaifa mf. Umeme, migomo ya wahadhiri na wanafunzi? Yaani anaona hiyo ndo isue ya kufanya?

Kubwa zaidi nijualo ni kuwa HASHAURIKI
Pili, yuko term ya mwisho hivyo national issues for national interests haziko kichwani tena,
Ni muda kwa kutoumiza kichwa, muda wa kurelax, kula raha, na kugawa vyeo, maana sheria inamlinda hawezi kushitakiwa mpaka akisha kufa ndiyo ruksa
 
Wanajamii

Kwa yale yote yanayotokea hivi sasa, kwa uchungu, heshima na unyenyekevu sina budi kusema yafuatayo:

1. Mh. Rais, ninakupenda sana lakini kwa haya yanayoendelea hapa nchi kweli upendo wangu kwako unaanza kupungua....kwa sababu NCHI unaipeleka pabaya sana!

2. Mh. Rais, viashilia vyote vya amani hapa nchini vinaonyesha NCHI yetu unaipeleka pabaya sana!

3. Mh. Rais, kama kweli unashirikishwa kwenye mipango ya hii kamata kamata ya waheshimiwa wabunge wa upinzani na unaafiki, basi NCHI yetu unaipeleka pabaya sana!

Ombi langu kwako: Tafadhari, kuanzia sasa unaposhauriwa changanya na zako maana washauri wako wengi hawako pamoja nawe tena! Ninasema haya kwa sababu ninakupenda!:behindsofa:
 
Huyu ****** nawaambia atatuletea janga kubwa , ni mtu asiyekuwa makini.
 
NI KWELI WAPO VIONGOZI wabovu ambao kwa namna moja ama nyingie wanamuangusha AMIRI JESHI MKUU WA NCHI YETU JK, katika hili Mh Jakaya anatakiwa kuwamulika kwa jicho la tatu watu wa namna hii hawafai kuwepo katika serikali yake kabisa, liko suala la KISIASA liliingia hapo kwamba wateule wengi huku serikalini kama MAWAZIRI/NAIBU/MAKATIBU WAKUU/ WAKUU WA MIKOA WAKUU WA WILAYA, WAKURUGENZI, WAKUU IDARA wengi walikuwa walichomekwa kinyemela na Ndugu LOWASA EDWARD hilo ni gumzo kuuuuuuubwa mitaani kwamba walikuwa ni watu wake hasa katika serikali ya kipindi cha kwanza cha JK.

AWAMU YA PILI YA JK MWANGAZA UMEANZA KUONEKANA..........wabovu wengi wamepumzika tu vizuri hii hata ukiangalia bungeni wengi wao wabunge wamepumzika, kwenye idara mbali mbali pia wameenza kuondlewa, juzi juzi hapa MAKATIBU WAPYA WAMETEULIWA naamini watafanya kazi vizuri bila kuingiliwa katika utendaji wao, MAKATIBU TAWALA WA MIKOA naamini itakuwa hivyo watafanya kazi zao kwa ufanisi zaidi. NAAMINI HATA WAKUU WA MIKOA WAPYA NA WAKUU WA WILAYA WAPYA WATAFANYAKAZI KWA UFANISI ZAIDI.

JK anajua anachokifanya anajua wapi pabovu wapi panahitaji mkazo ndio maana watendaji wengi wameanza kuamka sasa ombi langu ni kwa hao WAKUU WA MIKOA NA WAKUU WA WILAYA watakaokuja muda utakapofika WACHAPE KAZI KWELI muda wa lelemama umekwisha katika ardhi ya Tanzania, wananchi wanahitaji msaada wao wa karibu zaidi kutoka kwao, so wachape kazi kwa mujibu wa katiba ya nchi na sheria za nchi.

Jakaya songa mbele zaidi ninaimani na wewe, piga chini viongozi wa serikali wabovu, wengi waliwekwa na jamaa yako aliyekuangusha mmasai feki kumbe ni MMERU tu mjinga sana LOWASA chakachua wote weka TEAM WORK yako itakayofanya kazi sawa sawa.

NAKUTAKIA AFYA NJEMA NA MAISHA MAREFU.

MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Back
Top Bottom