Wana JF naomba kuwasilisha hoja kwenu kama ifutavyo, naomba 2ungane wote kudai demokrasia ya kweli. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wana JF naomba kuwasilisha hoja kwenu kama ifutavyo, naomba 2ungane wote kudai demokrasia ya kweli.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by FRANK MICHAEL, Jun 6, 2011.

 1. F

  FRANK MICHAEL Senior Member

  #1
  Jun 6, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 150
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ndugu wananchi wote mmeshuudia jeshi la police wakiua watu kama mambwa koko, hakuna matamko yanayotolewa na viongozi wetu kwa maana njingine wanaunga mkono mauaji hayo hivyo basi kitendo cha police kumkamata kiongozi wa kambi ya upizani bungeni ni ukweli kwamba kuna haja wa kudai ukombozi kwa mara ya pili kama anavyo sema mh sana Lema! baada kusema maneno hayo naomba kutoa hoja kwa wana jf wote tushirikiane kwa pamoja
   
 2. F

  FRANK MICHAEL Senior Member

  #2
  Jun 6, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 150
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mungu bariki tanzania! Amen
   
 3. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #3
  Jun 6, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Karibu sana dogo
   
 4. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #4
  Jun 6, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Bila matumizi ya nguvu hatutaweza kusikilizwa na badala yake wataendelea kutunyanyasa. Nashauri tufikirie na matumizi ya nguvu kudai haki zetu!
   
 5. jockey emmanuel

  jockey emmanuel JF-Expert Member

  #5
  Jun 6, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 330
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  karibu ndg....hata salamu huna?
   
 6. mfereji maringo

  mfereji maringo JF-Expert Member

  #6
  Jun 6, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 1,003
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  toa modality kaka
   
Loading...