Hongera CCM kwa kutekeleza ahadi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hongera CCM kwa kutekeleza ahadi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kilombero yetu, Jun 5, 2011.

 1. k

  kilombero yetu JF-Expert Member

  #1
  Jun 5, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,007
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  ndomana sijutii kuhama chadema na kuja ccm.cdm wahuni wengi na siwavumiliv katika siasa za ushindani si wastaarabu. lazima tuseme kweli kama zito kabwe kuwa " ccm inamazuri na si kila kitu kibaya tu,ccm imejenga barabara ya lami kigoma,ccm inajenga barabara ya lami dar to mbeya".

  na leo serikali ya ccm imekamilisha mradi mkubwa wa maji wa bwawa la machiria mkoani mara ktk wilaya ya serangeti utakao hudumia maeneo ya singida kwa lisu,bariadi,maswa na tabora.

  hongereni ccm rekebishen kasoro chache zilizopo wapinzan wakose chakusema muongoze nchi tena 2015 ,2025nakuendelea, sasa cdm inaemea masikio, wote wapo arusha cc tupo nchi nzima,mkiwakamata kesho kigoma hawawezikuja kuacha ya arusha,wamechoka, mchakamchaka kesi yakuiba mke ya dk vp? zen lile deni la mbowe nbc vipi?
   
 2. 1

  19don JF-Expert Member

  #2
  Jun 6, 2011
  Joined: May 13, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  hongera tumaini letu kwa kujidhilisha kuwa ni magamba dhahili, nakupongeza kwa kutambua kuwa lami unazotaja ni jasho lako kupitia kodi unazo lipa ,hii ya dar to mbeya labda ni nyingine mimi nafahamu mwl aliiacha ikiwa na lami, kipongeze chama chako cha magamba ,cdm waachie wenye cdm yao ulikuja
   
 3. Mlengo wa Kati

  Mlengo wa Kati JF-Expert Member

  #3
  Jun 6, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 2,733
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Chama cha Demokrasia na Magwanda(chadema)!
   
 4. WISDOM SEEDS

  WISDOM SEEDS JF-Expert Member

  #4
  Jun 6, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 782
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35

  tumaini letu, unachekesha sana, elewa kwamba kujenga barabara au mabwawa ni jukumu la serikali
  iliyopo madarakani, ni sawa na baba kujisifia kuwamnunulia nguo watoto wake wakati ni jukumu lake!
  Hebu kabla hujakisifia chama chako jaribu kuorodhesha kwanza mazuri yote yaliyofanyika kwa miaka 50
  tangu uhuru kisha ulinganishe na mabaya (au waliyofeli), kisha ufanbanishe na nchi ambazo mwaka 1961
  tulikuwa katika levo moja, utapata jibu. Vinginevyo hapa unatwanga maji kwenye kinu
   
 5. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #5
  Jun 6, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Matatizo ya mgongo huanza pale unapokuwa umetoa makalio kwa matumizi yasio sahihi.
   
 6. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #6
  Jun 6, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Mkuu mwache huyo, hajui lolote...........Baba hajitambulishi waswahili wanasema.......majukumu ndo yanayomtambulisha, sasa huyu gumegume analeta utambulisho hapa!! mimba ya jirani hiyo!
   
 7. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #7
  Jun 6, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,778
  Likes Received: 36,775
  Trophy Points: 280
  umeibukia wapi? ulikua jela nini?:majani7:
   
 8. MANI

  MANI Platinum Member

  #8
  Jun 6, 2011
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,861
  Trophy Points: 280
  Hapo ndio tatizo kubwa la nchi yetu kuendelea,kwani watu hawajui wajibu wa serekali ni nini? Maana kodi tunalipa sasa ni jukumu la serekali kupitia hizi kodi ifanye hayo.
   
 9. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #9
  Jun 6, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  HiVi nivichekesho hivi hayo mabwawa unayosema ni yale ambayo CHEYO alisema asilimia 85 ya maji yanapotea na akawa anshauri yatengenezwe ili kuweza kulisha maeneo uliyoyasema? HV hizi habari mnazipata wapi jamani au mnasikiliza na kusoma bila kuwa makini! barabara ya Dar to Mbeya aliacha nyerere ambayo hatakuweka vilaka ccm inashindwa tena kwa pesa zetu! MKUU MSHAURI JK AKUSANYE KODI NYINGI INAPOTEA NA YEYE ANAJUA!
   
 10. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #10
  Jun 6, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  kama ccm ni vilema wa akili kama wewe ujue taifa liko mirembe. Yani umeanza kuandika mambo ya ccm umewataja viongozi wa cdm pekee ndo ujue kuwa cdm ndo kila kitu. Hongera kwa kuama maana nyie mngeweka kivuli ktk kuikomboa tz,kaeni muishi kwa matumaini huko ccm!
   
 11. std7

  std7 JF-Expert Member

  #11
  Jun 6, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 331
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 45
  Tafadhali ndugu yangu wewe GT. umjibu kwa hekima ili auone upumbavu wake.
   
 12. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #12
  Jun 6, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  href="https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/142852-hongera-ccm-kwa-kutekeleza-ahadi.html" /> <meta http-equiv="Content-Type" content="text/html; charset=ISO-8859-1" /> <meta id="e_vb_meta_bburl" name="vb_meta_bburl" content="https://www.jamiiforums.com" /> <meta name="generator" content="vBulletin 4.1.3" /> <script type="text/javascript" src="http://ajax.googleapis.com/ajax/libs/yui/2.9.0/build/yuiloader-dom-event/yuiloader-dom-event.js?v=413"></script> <script type="text/javascript" src="http://ajax.googleapis.com/ajax/libs/yui/2.9.0/build/connection/connection-min.js?v=413"></script> <script type="text/javascript"> <!--
   
 13. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #13
  Jun 6, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  wewe ni zezetz sana na nyie ndo mnatafutwa na wawekezaji wazungu make ni wewe ni yes man kwanza sina hakika kama wewe ni mwanaume nazani ni shoga fulani. Hii nchi ili iendelee kizaza kama cha kwako inabidi kipotee. Hizo hela ccm walitoa zile za ruzuku wakachimba bwawa?
   
 14. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #14
  Jun 6, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,228
  Likes Received: 4,949
  Trophy Points: 280
  Binafsi sio shabiki wa Chadema ama chama kingine chochote cha kisiasa lakini ni mkereketwa wa maendeleo...nimebahatika kwa kiasi changu kupata ufahamu wa mambo,kwamba tumefanyiwa jambo fulani ,sawa lakini lilipaswa kufanyika kwa ufanisi zaidi km hiki na kile kingewekwa sawa...
  Sisemi CCM ni chama kibovu...hata kidogo maana km nikisema hivyo nitakua nimemkosea adabu babu,bibi,baba & mama yangu ambao "sera nzuri" za chama hiki enzi za uongozi wa "zidumu fikra zako" walijijengea misingi madhubuti ambayo kwayo nami nimekuja kusimama!

  CCM ina kansa ya uongozi na urasimu usioelezeka, CCM imetawaliwa na walafi na watu waliokosa huruma kwa kizazi hiki na cha baadaye...nazungumza haya kwa mantiki moja kua kila mtu anajua fika hali ya maisha ilivyo ngumu kwa sasa,lakini wakati wengi wakilia hali ngumu kuna wale wachache wanaopata kula kupitia kivuli cha bendera ya "Chama Chetu" Km huyu anayesifu chama chake kwa utekelezaji wa anachoita sera... hawa pamoja na kujua hali halisi ni mwiba mchungu sana kwa wenzao ambao juhudi zao za kuhoji na kufuatilia mambo utapelekea kuziba mirija inayowadondoshea neema!

  Sioni mantiki yoyote kwa serikali yenye majukumu ya kutosha kuacha kushughulikia mambo ya msingi na kujaribu kuinua hali ya maisha ya watu na badala yake ikajikita kwenye mambo ya hovyo hovyo yenye kuozesha ubongo na fikra za wana wema wa nchi hii ambao mioyo yao imekufa kwa hali ya mambo inavyojiendea sasa..

  Ndugu Tumaini nikukumbushe usemi wa kale kwamba ukiona mateka wanaomsifu mtekaji wao eti kwa kua hajawaua bado,mateka hao wanaweweseka tu na kifo hakiko mbali nao!
   
 15. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #15
  Jun 6, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Hahahahahaha.......! Hadi nimeshindwa cha kusema....!
   
 16. maishapopote

  maishapopote JF Gold Member

  #16
  Jun 6, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 1,998
  Likes Received: 955
  Trophy Points: 280
  dah nahisi utapata matusi mengi sana kuhusu haya maneno yako
   
 17. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #17
  Jun 6, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Hii ni kali sana! Ndivyo ccm walivyo boss!
   
 18. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #18
  Jun 6, 2011
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Sishangai.Watanzania ni mazumbukoko kweli kweli.Yaani unadhani kuna tofauti kati ya CCM na CDM.Pole sana.Umeingizwa mkenge.
   
 19. Mnwele

  Mnwele Senior Member

  #19
  Jun 6, 2011
  Joined: Feb 4, 2010
  Messages: 163
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Tumaini Letu:
  Ni ngumu kuamin kama you real bear the name of salvation.
  Anyway Kila mtu agenda yake and thats why umeweza kujielezea.
  I am not so sure level yako ya kuelewa concepts kama political science and economy.
  Na pia sifahamu if you know little about the spontenous governing systems na approaches.
  Its neither CCM nor Persons who did it...but rather a forced System.
  Ebu waambie waache kujenga hiyo barabara ya Kigoma- Manyovu or else where you like.
  Afterall, why are you so proud after all those bunches of years! Ulitakiwa kuwa muoga na critic.
  Your Level Counts
   
 20. kanta

  kanta JF-Expert Member

  #20
  Jun 6, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 343
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Nahisi umechanganyikiwa na hali ngumu ya maisha kwa hiyo umeamua kujipendekeza kwa MAGAMBA labda yatakuhonga, na ikifikia mwanamume anahemea kuhongwa ujue ameamua kuuza utu wake,kwa hiyo tukubakliane kabisa kwamba UNAJIUZA.Wewe na mawazo yako yalivyo finyu unatueleza shughuli za bwana MIPANGO na si utekelezaji wa sera za CHAMA CHA MAGAMBA.MAGAMBA yameua kila kitu ambacho Mwalimu Nyerere kwa kushirikiana na Watanzania wa kawaida walitoka jasho kuvijenga,wameua Reli,ATC,vyama vya USHIRIKA,VIWANDA VYA PAMBA,wakauza Matrekta ya vijiji,wakaua kiwanda cha zana za kilimo(ZZK),wakauza migodi yetu kwa bei ya chee,wakaiba mapesa mengi kupitia EPA, wakaunda RICHMOND na kuchota fedha kibao ili kutufukarisha zaidi,wakadidimiza elimu nchini,wakaua kilimo na kuleta usanii wa KILIMO KWANZA na wanaendelea kudidimiza TAIFA ila wewe kwa kuwa una self interest unaongea utumbo.TUTAKUTANA 2015.
   
Loading...