Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,890
- 6,896
Kwa upande wake, Mhashamu Askofu Ndimbo alitaka busara zitumike katika mchakato wa kuwapo kwa Katiba mpya nchini, kwa pande zote zinazohusika. Alizungumza hayo wakati Rais Kikwete alipokuwa mmoja wa wageni waliohudhuria kuwekwa Wakfu na kusimikwa Askofu huyo mpya wa Jimbo Katoliki la Mbinga, Mkoani Ruvuma, Juni 5.
Source: Habari Leo
Source: Habari Leo