Kuvimbiwa kwa watawala: Jibu si kuvua gamba
Jenerali Ulimwengu
22 Jun 2011
Toleo na 191
Wahitaji kula haluli kusafisha tumbo
SI kazi rahisi kwa yeyote miongoni mwetu kujaribu kueleza, na...
• Adaiwa kutumia Bunge kukwepa maswali
na Martin Malera
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda, jana kwa mara ya pili mfululizo ameshindwa kujibu Maswali ya Papo kwa Hapo bungeni kwa madai ya...
Sijapata bahati ya kukutana na mbunge wa Kilindi, Beatrice matumbo shellukindo lakini anastahili sifa hasa kwa kutafuta, kushughulikia na kutafutia suluhu matatizo ya wana kilindi.nimekuwa...
CCM ni Chama Bora nchi hii kuliko vyote kwa mema ambayo kimewafanyia Watanzania. Kwani hamna ubishi viongozi wake wamekuwa wachapakazi na wenye utu kwa kuwatumikia wananchi wa nchi hii.
Na...
Wadau,
Kuna haya magazeti ya uhuru,jambo leo na habari leo.Imekuwa ni ajabu kwani ni lazima kila siku kuwe na heading kubwa inayouza gazeti inayohusu chama cha demokrasia na maendeleo...
Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Aldo Kaduma, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu mkazi Mkoa wa Iringa, akituhumiwa kujifanya Afisa wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru). Kada...
Chifu Mangungu wale msiomjua alikuwa ni Chifu wa Msowero,Usagara kule maeneo ya Morogoro.Hakusoma na hakuwahi kusafiri kwenda Ulaya,Marekani wala Uarabuni kutafuta wawekezaji.Aliamini kuwa kama...
Rais Jakaya Kikwete akishiriki kupanda mti wakati wa ufunguzi rasmi wa mkutano wa Wakuu wa Umoja wa Afrika(AU) katika mji mkuu wa Guinea ya Ikweta, Malabo
Nyumbani Tanzania
Mh tofauti kwenye...
By In2EastAfrica - Thu Jun 30, 10:30 pm
Former minister for Health, Prof David Mwakyusa
Some CCM legislators yesterday said it was not proper to blame the Opposition for conducting...
Juu ya uuzwaji wa hisa za serikali zilizopo katika benki ya NBC kwa wananchi,kisha DSE.Nakumbuka waziri wa fedha aliingiza kama chanzo kimojawapo cha mapato ya serikali ktk bajeti 2010-11.pili...
Mtazamo WANGU binafsi Arusha madiwani ambao kwakweli NI wawakilishi WA wananchi na bahati mzuri hakuna aliyepinga kuchaguliwa Kwai udiwani, wamekaa na kuamua KUMALIZA tofauti zao, Leo viongozi wao...
Kitendo cha wawekezaji kupewa miaka 10 ya kuchimba mafuta na gesi ndani ya nchi yetu bila kulipa
kodi kwa miaka kumi na serikali hii ya ccm ni kuuza nchi tena kwa bei rahisi, jamani vijana imefika...
Zitto alipua ufisadi wa bil. 20/- za madini
Na Grace Michael, Dodoma
Majira
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Bw. Zitto Kabwe, jana aliibua kashfa nyingine dhidi ya serikali ya upotevu wa sh. bilioni...
Zitto ameliponda baraza la mawaziri kwa kutaka CHC yaani consolidated holdings kwa kutaka kuongezewa muda wa miaka mitatu badala ya mapendekezo ya kamati yake iliyotaka lipewe unspecified time ili...
Wabunge CCM wataja tiba ya maandamano
*Wasema ni serikali kutekeleza mahitaji ya wananchi
*Mnyika atishia mengine ya kupinga mgawo wa umeme
Na Grace Michael, Dodoma
Majira
IKIWA ni takriban...
MADIWANI wa Chadema katika Manispaa ya Arusha, wamesema chama hicho hakina ubavu wa kuwafukuza kwa kuwa kufanya hivyo, kitakuwa kinacheza mchezo wa pata potea.
Wakizungumza na gazeti hili...
WAKATI NI SASA HAKUNA KUNGOJA!!!!
Mimi nasema hawa WATOKE ni WAONGO na wametusaliti wananchi na wamekalia maneno tu,nasema Watupishe watokee,nimechoka ,Dunia nzima imechoka na SISI TANZANIA...
By Jerry Okungu
THIS week there were reports that the Ugandan opposition leaders have taken their campaign against president Yoweri Museveni to London and Washington.
The aim here is to...
Mara kwa mara tumesikia watu wakikwapura viwanja vya wazi na kuvifanya chini ya himaya yao. Leo, 01.07.2011 Katika kikao cha Bunge, Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Mhe. John Mnyika amehoji juu ya nini...