Wabunge wa upinzani ulizeni juu ya masuala yafuatayo:- | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge wa upinzani ulizeni juu ya masuala yafuatayo:-

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BONGOLALA, Jul 1, 2011.

 1. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #1
  Jul 1, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,791
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Juu ya uuzwaji wa hisa za serikali zilizopo katika benki ya NBC kwa wananchi,kisha DSE.Nakumbuka waziri wa fedha aliingiza kama chanzo kimojawapo cha mapato ya serikali ktk bajeti 2010-11.pili sheria ya makampuni ya simu za mikononi kuuza hiza kwa wazawa kwa nini haitekelezwi na ipo ikulu tayari?au ma ceo wa voda,tigo,zantel na airtel wameshanyamazisha sheria through lunch?
   
Loading...