Beatrice shellukindo ni miongoni mwa wabunge wa kuigwa

Mcheza Karate

JF-Expert Member
Jun 30, 2011
690
350
Sijapata bahati ya kukutana na mbunge wa Kilindi, Beatrice matumbo shellukindo lakini anastahili sifa hasa kwa kutafuta, kushughulikia na kutafutia suluhu matatizo ya wana kilindi.nimekuwa mtumishi hapa kilindi kwa miezi kadhaa lakini wenyeji wamenieleza mambo yalivyobadilika ndani ya uwakilishi wa shellukindo. Ametoa umeme kutoka wilaya ya Handeni hadi Songe(makao makuu ya wilaya ya kilindi), amepandisha hadhi barabara kadhaa na sasa ni barabara za mkoa sambamba na kuzifanyia matengenezo kwa kiwango kikubwa. Hayo ni machache sana, ameboresha michezo, kwa ushahidi kuna wakati aliniahidi vifaa vya michezo lakini kwa Bahati mbaya nikawa nimepatwa na msiba wa marehemu baba. Hivyo namba zake nikapoteza nikiwa safarini kuelekea nyumbani songea kwenye mazishi. Hivyo kushindwa kunipatia kwa kukosa mawasiliano. Shellukindo ni msikivu, hana dharau. Hivi wanaotaka kumchafua kwa kumwingiza kwenye makundi ni wanafiki na wauza magazeti tu. Waje kilindi waone aliyoyafanya. Kama kuna mtu anamfahamu zaidi yangu aeleze leo pasipo unafiki. Ila kwa ninavyomfahamu shellukindo, ikatokea kwa bahati mbaya leo atangulie mbele ya haki na nikapewa niandike tanzia naweza nikajaza hata kurasa 10.
 
Wanaopaswa kumuiga ni wengi, hasa walala usingizi kwenye madawati ya pale Dodoma, hivi mbunge akatoa mawazo yake mjengoni nawe usiyakubali ni pumba? Au alitakiwa alale na kupiga makofi tu? Sina nia ya kumwosha kabisa! Hii ni hoja yangu tu?
 
huyu mtu kajiunga leo obvious ni baada ya thread ile ya juzi na mambo yake aliyofanya mjengoni . ukute ni mwenyewe bitte anajaribu kujiswafi.
 
Hilo linahusianaje na umakini katika shughuli zake za ubunge?

Yaani hata mimi nashangaa..............

JF kuna lugha za ajabu kweeli siku hizi............Hakuna heshima kabisa yaani......

Inasikitisha sana.....

Tafakari.......................Chukua hatua
 
sijapata bahati ya kukutana na mbunge wa kilindi, beatrice matumbo shellukindo lakini anastahili sifa hasa kwa kutafuta, kushughulikia na kutafutia suluhu matatizo ya wana kilindi.nimekuwa mtumishi hapa kilindi kwa miezi kadhaa lakini wenyeji wamenieleza mambo yalivyobadilika ndani ya uwakilishi wa shellukindo. Ametoa umeme kutoka wilaya ya handeni hadi songe(makao makuu ya wilaya ya kilindi), amepandisha hadhi barabara kadhaa na sasa ni barabara za mkoa sambamba na kuzifanyia matengenezo kwa kiwango kikubwa. Hayo ni machache sana, ameboresha michezo, kwa ushahidi kuna wakati aliniahidi vifaa vya michezo lakini kwa bahati mbaya nikawa nimepatwa na msiba wa marehemu baba. Hivyo namba zake nikapoteza nikiwa safarini kuelekea nyumbani songea kwenye mazishi. Hivyo kushindwa kunipatia kwa kukosa mawasiliano. Shellukindo ni msikivu, hana dharau. Hivi wanaotaka kumchafua kwa kumwingiza kwenye makundi ni wanafiki na wauza magazeti tu. Waje kilindi waone aliyoyafanya. Kama kuna mtu anamfahamu zaidi yangu aeleze leo pasipo unafiki. Ila kwa ninavyomfahamu shellukindo, ikatokea kwa bahati mbaya leo atangulie mbele ya haki na nikapewa niandike tanzia naweza nikajaza hata kurasa 10.
omo multactive haiwezi kumsafisha bite!!!!!!!
 
Karatu kuna umeme? Barabara ya kwenda kule ina hali gani? Halafu mtu anataka uraisi!
 
Kuna siku wiki hii watu waliweka utumbo wake humu leo inakuja thread ya Sabuni ya Mbuni unataka kumsafisha....ingekuja kabla ningeelewa ila poa tu hata kama kakutuma hamna noma na alisha iponda JF na nafahamu anayasoma haya yote humu.....
 
Sijapata bahati ya kukutana na mbunge wa Kilindi, Beatrice matumbo shellukindo lakini anastahili sifa hasa kwa kutafuta, kushughulikia na kutafutia suluhu matatizo ya wana kilindi.nimekuwa mtumishi hapa kilindi kwa miezi kadhaa lakini wenyeji wamenieleza mambo yalivyobadilika ndani ya uwakilishi wa shellukindo. Ametoa umeme kutoka wilaya ya Handeni hadi Songe(makao makuu ya wilaya ya kilindi), amepandisha hadhi barabara kadhaa na sasa ni barabara za mkoa sambamba na kuzifanyia matengenezo kwa kiwango kikubwa. Hayo ni machache sana, ameboresha michezo, kwa ushahidi kuna wakati aliniahidi vifaa vya michezo lakini kwa Bahati mbaya nikawa nimepatwa na msiba wa marehemu baba. Hivyo namba zake nikapoteza nikiwa safarini kuelekea nyumbani songea kwenye mazishi. Hivyo kushindwa kunipatia kwa kukosa mawasiliano. Shellukindo ni msikivu, hana dharau. Hivi wanaotaka kumchafua kwa kumwingiza kwenye makundi ni wanafiki na wauza magazeti tu. Waje kilindi waone aliyoyafanya. Kama kuna mtu anamfahamu zaidi yangu aeleze leo pasipo unafiki. Ila kwa ninavyomfahamu shellukindo, ikatokea kwa bahati mbaya leo atangulie mbele ya haki na nikapewa niandike tanzia naweza nikajaza hata kurasa 10.
Pumba tupu,acha umamruki, hebu soma hizo red uone unavyojichanganya
 
If you cannot beat them, join them!
Huyu Beatrice Shellukindo alionja joto ya jiwe baada ya kutumia muda wake bungeni kama mwakilishi wa Wana-kilindi na kuishambulia JF. Great thinkers wengi wakamtolea uvivu na kumkumbusha kazi aliyotumwa kuifanya bungeni. Then, 24 hrs anajiunga mtu anaedai kuwa karibu na Wanakilindi na kueleza mazuri aliyofanya huyu Mama. Sasa angalieni mafanikio yake:

1. amepandisha hadhi barabara kadhaa na sasa ni barabara za mkoa sambamba na kuzifanyia matengenezo kwa kiwango kikubwa - really? Either barabara imetengezwa au haitengezwa lakini kutengezwa kwa kiasi kikubwa maana yake nini hasa? Kwamba ni ya lami na hivyo inapitika kipindi chote cha mwaka? au wamemwaga changarawe?

2. ameboresha michezo, kwa ushahidi kuna wakati aliniahidi vifaa vya michezo lakini kwa Bahati mbaya nikawa nimepatwa na msiba wa marehemu baba- Politcal rhetoric at its best!

3. Ametoa umeme kutoka wilaya ya Handeni hadi Songe(makao makuu ya wilaya ya kilindi) - nyumba (households) ngapi zimepata huduma hii baada ya hii juhudi kubwa ya mheshimiwa. (pengine ungetueleza Beatrice Shellukindo ana makazi/kitega uchumi karibu na hayo makao makuu ya Wilaya?)

Mwisho, Kabla ya hiyo perfmance yake dhidi ya JF, Beatrice Shellukindo hakuwahi kuwa gumzo humu jamvini. Sasa, maadam unaonekena kujua mengi kuhusu huyu mwanamama unaweza kutueleza kwa nini aliamua kuishambulia JF? waliamkosea nini yeye binafsi au wana-kilindi anaowawakilisha mpaka aamue ku-record mashambulizi kwenye hansard za bunge?
 
Karatu kuna umeme? Barabara ya kwenda kule ina hali gani? Halafu mtu anataka uraisi!
Kaka kama hujafika karatu usiropoke unajiaibisha! Karatu kuna kila kitu kwa maendeleo ya binadamu, huwez kufananisha karatu na Kilindi, Karatu kuna umeme,barabara ya lami frm Arusha via Monduli to mto wa mbu mpaka Karatu, mabenk ya nje mfano exim, hotel za kitalii, Bureau de change,maduka makubwa n.k
note.
Sikuhadithiwa nimefika mwenyewe kujionea, mpaka ngorongoro crater a.k.a the worlds heritage.
But kwa kuwa ww sio mtalii wa ndani sikulaumu.
Pole sana.

Tuje Kilindi sasa, hakuna lami,frm Handen to Kilindi ni tabu tupu barabara mbovu mno,Kuna njaa, huduma za afya mbovu, hakuna hospital binafsi hata moja, bank yenyewe ilikua hakuna yan mishahara kuipata mpaka uende wilaya nyingine,bt now nasikia nmb wamefungua, hakuna huduma za maji, je ni halali kwa Beatrice Shelukindo kuzungumzia Jf mjengon na kusahau wapiga kura wake wanakufa njaa,maji pia hawana! Kwanini asizungumzie juu ya kupanda kwa bei ya mafuta ya taa mana absolutely wapiga kura wake kule Kilindi wataathirika vibaya!
 
Back
Top Bottom