Kumbe shule za kata nao wamo?,tunawapongeza.
Hongera zao.., lakini huo ni upotevu wa muda wa Bunge, imeshindikana nini kufanya hilo tendo wakati wa muda wa wabunge wa kupumzika..,hasara haiko kwenye fedha pekee hata junsi tunavyotumia vibaya muda...
Janja ya nyani hiyo ya kutuondoa kwenye ajenda ya msingi kuhusu nchi kuwa gizani, kwangu mimi mtoto kufaulu vizuri form six sio issue kwangu, labda niambiwe kuna aliyevumbuwa walau kitu kama sindano, hiyo kwangu inaweza kuwa issue, lakini sio maigizo haya ambayo yanaonesha wazi serikali haina cha kujivunia matokeo yake wanadandia matukio yoyote ambayo wanaona yatawasahaulisha watu shida zao.Sidhani kama huko ni kupoteza muda. Kuwapa heshma ya kupongezwa rasmi bungeni ni njia mojawapo ya kuwapa hamasa vijana wetu.
Wadogo zao nao watatamani siku moja wapongezwe, hivyo watafanya bidii masomoni.
Eti Majengo Secondary Moshi ni shule ya KATA. Huyo ndiye waziri wa Elimu bana
Eti Majengo Secondary Moshi ni shule ya KATA. Huyo ndiye waziri wa Elimu bana
Wazo lako ni zuri ila avetar yako inachefua sana jaribu kuweka nyingineWaziri Mkuu hana muda wa kujibu maswali ya papo kwa hapo kwa issues muhimu za nchi lakini ana muda wa kupongeza waliokwisha faulu
hivi siku hizi 20 ni = na 30? Labda mwenzetu ulikuwa unaangalia bunge la somalia.
@New York, anaijuwa vizuri sana na nimemwambia asahau kuhusu ubunge. yeye aendelee kubeba mabox hukohuko NYCha ha ha ha ha nimecheka kwa comment yako na hiyo signature yaho ha ha ha @new york ameiona?