Kuna mengi yanasemwa kuhusu spika makinda kwa kuonyesha upendeleo wa wazi na dhati kwa serikali na chama tawala(CCM). Lakini la muhimu ni kufahamu kuwa spika makinda aliteuliwa kwa sifa zipi...
World Bank approves $59 mln infrastructure loan for Tanzania
DAR ES SALAAM, July 1 (Reuters) - The World Bank said on Friday it has approved additional financing of $59 million to support the...
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Philip Mulugo amekanusha kuwa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma hawabaguliwi kufuatana na itikadi zao za vyama. Alikuwa akijibu swali la nyongeza la...
Sunday, 03 July 2011 20:25
Raymond Kaminyoge
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) ambacho kinapita katika hatua ngumu ya mabadiliko, kimetangaza kurejea kwenye mizizi yake kwa kufanya kumbukizi la Tanu...
Nina maswali magumu ya kumuuliza.
tafadhali baba rudi jf tujadili ile posho kubwa ya milioni 7.5
ninayo maswali mengine kuhusu mchumba wako wa kudumu kuwatumia waheshimiwa sms za mipasho...
Na Flora Amon
MCHUMBA wa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dkt. Willibrod Slaa, Bi. Josephine Mushumbusi, amekiri kumtumia ujumbe mfupi wa simu (SMS) Mbunge wa viti...
Imeandikwa na Ansbert Ngurumo
MIAKA mitano iliyopita, Rais Jakaya Kikwete aliandika historia kwa kukiri hadharani kwamba Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilikuwa kimeshinda uchaguzi kwa mapato...
Wamefanyiwa upasuaji(operation) katika hospitali moja nchini India ijulikanayo kama Apollo iliyopo mjini Hyderabad.
Prof Lipumba ana tatizo la figo na keshafanya upasuaji na alishindwa KUELEZEA...
habari hi nimeambiwa na mwandishi wake jana kuwa kila wiki atakuwa anatafuta sababu asiwemo bungeni siku ya alhamisi ili kuepuka maswali ya papo kwa papo wiki hii anaenda brazil akiludi next wiki...
Katika vitu ambavyo vingeweza kuidhoofisha CCM na kuiondolea uhalali mbele ya wananchi ni suala la Umeme Usiokidhi Mahitaji hususan Mgao huu mkali wa umeme unaoendelea nchini, lakini cha ajabu ni...
Wakati chama cha Mapinduzi(CCM)kikijiandaa kuadhimisha miaka 50 ya Uhuru Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye amesema kuwa chama hicho kimekusudia kuanza...
Natupa memory zangu nyuma i think ni 2008 kuna mwandishi mmoja anakwenda kwa jina la Rosemary Mwakitangwe aliwahi kuandika makala kwenye the number one newspaper in Tanzania almaarufu kama Raia...
Sunday, July 3, 2011, 12:03
Habari, Mtanzania
*Adaiwa kumkingia kifua mbunge asikamatwe
Na Kulwa Karedia
MKURUGENZI wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai nchini (DCI), Robert Manumba, amedaiwa...
Hatimaye Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Shamshi Vuai Nahodha ambaye amekuwa akiishi hotelini kwa miezi nane sasa atahamia kwenye nyumba yake kuanzia wiki ijayo, NIPASHE Jumapili imebaini...
Imetolewa na;Julius Mtatiro,
Naibu Katibu Mkuu CUF Tz Bara,
Jumapili, 03 Julai 2011 saa 5.00 Asubuhi Dar es salaam.
UTANGULIZINdugu waandishi wa habari,Nchi yetu hivi sasa inakabiliwa na...
Kuna taarifa (toka TBC1) kuwa leo Zitto katoa tamko rasmi kuwa ana mpango wa kugombea urais wa Tanzania mwaka 2015 na akawaomba wananchi wampe kura nyingi ili apate hadhi ya kuweza kugombea urais...
Imekuwa ni kawaida kwa wabunge na viongozi wengine wa chadema kuwa karibu sana na wananchi na kuwatetea mahala husika, Hali hii ni tofauti kabisha kwa huyu mkurugenzi wa halmashauri ya bunge John...