pinda kukimbia maswali yapapo kwa papo kipindi chote cha bunge | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

pinda kukimbia maswali yapapo kwa papo kipindi chote cha bunge

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kingxvi, Jul 4, 2011.

 1. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #1
  Jul 4, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  habari hi nimeambiwa na mwandishi wake jana kuwa kila wiki atakuwa anatafuta sababu asiwemo bungeni siku ya alhamisi ili kuepuka maswali ya papo kwa papo wiki hii anaenda brazil akiludi next wiki anaanza ziara ya mikoani. Kumbuka ni wiki ya 3 sasa hakutakuwa na maswali na majibu
   
 2. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #2
  Jul 4, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,003
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  hata ingekuwa ni mimi ni bora kukimbia, umesahau ule msemo wa heri nusu shari kuliko shari kamili? kwakweli kwa mara ya kwanza tz, tuna viongozi wakuu wawili ambao kila uchao wanachafua hali ya hewa. mifano michache hii hapa;-

  PM PINDA
  znz sio nchi
  anayeua albino naye auwawe
  posho za wabunge hazitoshi kuna watz wengi wanazivizia mlangoni
  endeleza....................................

  JK
  sitaki kura zenu wafanyakazi
  wanaopata mimba ni kiherehere chao
  maaskofu wanauza unga
  endeleza....................
   
Loading...