Spika Makinda ni lulu ya wabunge "waumwa akili" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Spika Makinda ni lulu ya wabunge "waumwa akili"

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mcheza Karate, Jul 2, 2011.

 1. Mcheza Karate

  Mcheza Karate JF-Expert Member

  #1
  Jul 2, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 691
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 45
  Kuna mengi yanasemwa kuhusu spika makinda kwa kuonyesha upendeleo wa wazi na dhati kwa serikali na chama tawala(CCM). Lakini la muhimu ni kufahamu kuwa spika makinda aliteuliwa kwa sifa zipi? Makinda aliteuliwa kwa sifa mbili kuu mosi ni "jinsia" na ya pili ni "utii" kwa chama chake. Mkinda angekuwa spika ule mwaka 1995 angekufa kwa presha. Mfano siku ya kuapishwa pius msekwa Masumbuko lamwai na Mabere marando wakiwa NCCR-mageuzi walimsumbua msekwa kwa kukataa kipo chake mara mbili mara ya tatu wakaridhia. Je makinda angeweza kwa kasi ile? Anachokifanya Makinda ni kusoma "gazeti" tu mbunge wa CCM akichangia au kutoa hoja lakini akisimama wa CHADEMA kutoa au kuchangia hoja na akaihoji serikali huinuka na kupiga yowe THIBITISHAAAAAAAA!!!!!!! Kwa tabia yake hiyo amejizolea marafiki wengi ni wale wavivu wa kutafakari. Kwa kweli MAKINDA ni lulu ya wanaoumwa akili na sio wale wenye weledi. Labla atabadilikaaa!!!
   
 2. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #2
  Jul 2, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Hahahahaaaaaaaaa........nipo ndani ya daladala mada yako imenifanya nishindwe kuvvumilia NIMECHEKA,asante sana kwa sridi yako
  bek to the topic:CHAMA MBELE THEN NCHI NYUMA,maamuzi yeyote yatakayopitishwa na BUNGE.hayatamuathiri Bi Kiroboto
   
 3. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #3
  Jul 4, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Tehe tehe tehee kumbe A.K.A YAKE NI BI KIROBOTO KWELI JINA HL LIMEMFANANIA KAMA VILE NI LA UBATIZO
   
 4. k

  kiloni JF-Expert Member

  #4
  Jul 4, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 575
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Bi Kiroboto ni mchumia tumbo tu! anaogopa yasije mpata yaliyompata SS bosi wake wa zamani. Bi Kiroboto ni pandikizi la mafisadi. Alikiri mwenyewe alifuatwa na RA hadi njombe hajasema alikatiwa ngapi na huyu "KINGSMAKER"
   
 5. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #5
  Jul 4, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Hahahahahahaaaaa! Umenifurahisha sana mkuu!
   
Loading...