Bajeti mbadala ya ofisi ya raisi menejimenti ya utumishi wa umma ya kambi ya upinzani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bajeti mbadala ya ofisi ya raisi menejimenti ya utumishi wa umma ya kambi ya upinzani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Chal, Jul 4, 2011.

 1. C

  Chal Senior Member

  #1
  Jul 4, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 128
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ingawa suala la mishahara halikutajwa na Hawa Ghasia, kambi ya upinzani inasisitiza kima cha chni kiwe 315,000/-
   
 2. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #2
  Jul 4, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,529
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Hiyo inawezekana lakini iendani na azimio kuwa entry qualification to any employment is University Degree. Ni waajiri gani watakuwa tayari kuajiri wahitimu wa vyuo vikuu pekee?
   
 3. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #3
  Jul 4, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,507
  Likes Received: 1,683
  Trophy Points: 280
  Kwa vyanzo vipi vya mapato?
   
 4. MAVUNO

  MAVUNO JF-Expert Member

  #4
  Jul 4, 2011
  Joined: May 29, 2011
  Messages: 334
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Hii ni nzuuri,makofi kwa wingi
   
 5. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #5
  Jul 4, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  safi sana Suzan Lyimo! hotuba ya upinzani swafi mnooo.
   
 6. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #6
  Jul 4, 2011
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  mpaka kieleweke mwaka huu.
   
 7. n

  nzom Senior Member

  #7
  Jul 4, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 168
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Je hawajema juu ya kupandisha mshahara viendavyo sambamba na ongezeko la kodi kwa mtumishi suala liko hapo think more
   
 8. Foundation

  Foundation JF-Expert Member

  #8
  Jul 4, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,458
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 180
  Mkiambiwa Mishahara ya Watumishi mnatoa visingizio vya kitoto. Lakini Kuwalipa Wabunge na Mawaziri Mishahara minono vyanzo vipo. Wajinga ndio waliwao
   
Loading...