Kutoka Mlimani City: Mkutano wa Makandarasi Tanzania 2011!

Yeccotltd

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2011
Messages
201
Points
0

Yeccotltd

JF-Expert Member
Joined Apr 4, 2011
201 0
Taratibu za kiusalama zinawekwa sawa kwaajili ya ujio wa mheshimiwa Rais!

Makandarasi naona wamejitokeza na wengine wanaendelea kuja! Tutawaletea yanayojiri hapa!

UPDATES:

Wajumbe wa mkutano washaanza kuingia ndani ya ukumbi!

Mambo yanapendeza kwakweli bado mh rais hajafika!

Ukaguzi ni mkali unavuliwa mpaka mkanda! Naona akina Jasoni Bourne na Kishongo wamechachamaa juu ya usalama wa mh rais!

Kinachovutia ni kuwa Makandarasi karibu wote wamevaa suti njeusi!!

More Updates:

Mheshimiwa Waziri Magufuli ameswhaingia ukumbini anawasalimia wajumbe

Mh rais anaingia sasa eneo la tukio wajumbe wamambiwa kuwa watasimama na baada ya rais kukaa kuna wimbo maalum!!

UPDATES day 2!

Naaaam ndugu wazalendo tuungana tena katika mkutano wetu wa mwaka wa makandarasi!

Fuatana nasi kujua kila kinachoendelea hapa Mlimani City!

UPDATES day 3!

Naaaaaam mabibi na mabwana tunarejea tena live kutoka Mlimani City ktk mkutano wa makandarasi 2011!
Fuatana nasi kujua yanayojiri hapo, kumbuka leo ni siku ya mwisho ya mkutano huu!

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Messages
15,332
Points
2,000

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined Feb 8, 2011
15,332 2,000
asante mkuu nategemea mtampa mkuu mapendekezo yenu ili kuwaongezea uwezo na wazalendo kusimamia miradi yote mikubwa na si wachina hadi vichochoroni!

kidono

Member
Joined
Aug 24, 2011
Messages
15
Points
0

kidono

Member
Joined Aug 24, 2011
15 0
Hakuna jipya mkutano wa makandarasi,acha wachina waendelee kuconstruct hata wakiharibu km kilwa road wanakubal kurekebisha.wakandarac wa bongo full corrupt kupata zabun wakishapata usanii mtupu.

RedDevil

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2009
Messages
2,371
Points
2,000

RedDevil

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2009
2,371 2,000
Mkutano kama huu navyofahamu mie hapa, wakandarasi wenyewe huchanga pesa yao kutoka mfukoni kwa ajili ya kupata nafasi ya kubadilishana mawazo na wenzao. Pamoja na kupata training session za kwenye industry husika zikiwemo updates mbali mbali zinazohusiana na changamoto.

Kifupi ni hayo!! I miss this, tuwakilisheni wakuu mlioko huko nyumbani.

RedDevil

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2009
Messages
2,371
Points
2,000

RedDevil

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2009
2,371 2,000
midundiko kwenye mkutano wa wadau wa ujenzi na makandarasi ..... duh ..... nilitegemea kutakuwa na mafundi wakionyesha jinsi ya kusuka nondo za reinforcements na kutengeneza formwork za kumwagia zege
Umeongea point, 2009 kulikuwa na makampuni mbali mbali yaliyokuwa yanaonyesha technolojia zao kwenye contruction inductry. Hope hizo ngoma ni sehemu ya sherehe mkuu na hizo sekta zitakuwepo pembeni.

Forum statistics

Threads 1,382,459
Members 526,380
Posts 33,828,645
Top