Rushwa TANROADS: Magufuli atangaza vita | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rushwa TANROADS: Magufuli atangaza vita

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Majoja, Sep 6, 2011.

 1. Majoja

  Majoja JF-Expert Member

  #1
  Sep 6, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 610
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Na Richard Makore
  NIPASHE ya 6 Sept 2011

  Waziri wa Ujenzi ,Dk John Magufuli amesema kitengo cha Manunuzi(Procurement) Makao Makuu ya Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) kinanuka kwa rushwa na kutangaza kukivunja kwa maelexo kuwa kimeendelea kitia hasara serikali.
  Dk Magufuli alitangaza hatua hiyo jana jijini Dar es salaam wakati mkutano wa wakandarasi (na wahandisi) uliofunguliwa na Rais Jakaya Kikwete.
  Alisema watumishi wa kitengo hicho wanaongeza gharama katika miradi ya ujenzi na kuongeza kwamba hivi sasa kilometa moja ya barabara inajengwa kwa Sh bilioni 1.8 huku barabara ikiwa chini ya kiwango.

  Well done Magufuli, sasa tukupe hint:
  Mradi wa nyongeza Bodoma Manyoni-kilometa 16 kwa Tshs bilioni 32-Mkandarasi Estim(Bilioni 2 kwa kilometa)
  Mradi wa Msata-Bagamoyo-kilometa 64, Tsh bilioni 105-Mkandarasi Estim(Bilioni 1.6 kwa kilometa)
  Kuna makandarasi Tanroads ni sitting room.

  Mifano mingi tu,na ni urithi wa Mrema wa TANROADS, Mfugale na Magufuli mnakazi kwelikweli kusafisha uozo.
   
 2. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #2
  Sep 6, 2011
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Speech ya mh Magufuli ilikuwa nzuri sana
   
 3. M

  Marytina JF-Expert Member

  #3
  Sep 6, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Estim kuna mkono wa Manji wa Kagodo katika kunasa tenda
   
 4. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #4
  Sep 6, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,060
  Likes Received: 3,087
  Trophy Points: 280
  Mpaka nimefika hapa nimeweza kumsikia mtu m1 tu Tanzania nzima ndo alitamka kutokumkubali mh.Pombe...nilimshangaa sana mpaka udenda ukanitoka,loh!!
   
 5. Yeccotltd

  Yeccotltd JF-Expert Member

  #5
  Sep 6, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 201
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yah jana kaongea kwa kujiamini sana na akasema kitengo cha proquamenti ndani ya tanroads kifumuliwe haraka sana!
   
 6. Mbugi

  Mbugi JF-Expert Member

  #6
  Sep 6, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,488
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 160
  chama dume, chama chenye watu, kina hazina ya vichwa, muwe wapole mapaka mtapenda
   
 7. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #7
  Sep 6, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  well done magufuli. pamoja na mapungufu yako lakini you are the best (i do not know if is among the worse, but you are good). Huyo kiazi hapo juu yako sioni hata anachokifanya.
   
 8. Anheuser

  Anheuser JF-Expert Member

  #8
  Sep 6, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 1,962
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Kifumuliwe na nani?

  Wamekuwa fired hawajawa fired? Kifumuliwe ndio nini?
   
 9. kanywaino

  kanywaino Senior Member

  #9
  Sep 6, 2011
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 171
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Well done well said.big up magufuli
   
 10. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #10
  Sep 6, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,644
  Likes Received: 1,436
  Trophy Points: 280
  sasa anangoja nini kukifumua au hana madaraka hayo?
   
 11. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #11
  Sep 6, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,158
  Trophy Points: 280
  Action speaks louder than words. Magufuli fanya kweli isiishie kwenye mikutano tu. Tunataka tuone kama tulivyoona kwa Mramba na wenzake!
   
 12. W

  We know next JF-Expert Member

  #12
  Sep 6, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 664
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nadhani Mh. Rais anatakiwa kumpa ushiriakiano wa hali ya juu sana Dr Pombe Magufuli. Kwanini? Kwanza ndiye Waziri pekee naye muona anaweza kumwambia Rais ukweli bila kumficha tena mbele ya kadamnasi; Pili, mambo aliyotakiwa Mkuu kuyaongea, Dr Pombe anaye ongea kwa niaba yake; Tatu, ni waziri pekee ambaye anamfundisha hata Rais jinsi ya kufanya kazi. Ukifuatilia hotuba yake pale anaposema " Nakuomba Rais mambo mengine madogo madogo yakija kwako, uyasikilize na uyaweke pembeni usiyafanyie kazi, tuachie sisi tushughurike nayo. Hapo hakuna ubishi kwamba Mkulu anapewa somo kuwa ashughulike na mambo makubwa na mazito ya kitaifa, haya ya wavamizi wa barabara na mabango ya matangazo na vituo vya mafuta si size yake, ni madogo sana. Hongera magufuri, kwa kweli Rais inapaswa afahamu, huyu Dr anaibeba sana Serikali ya CCM.
   
 13. P

  PakavuNateleza JF-Expert Member

  #13
  Sep 6, 2011
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 957
  Likes Received: 513
  Trophy Points: 180
  Makufuli siyo mtu wa maneno matupu
   
 14. Majoja

  Majoja JF-Expert Member

  #14
  Sep 6, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 610
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kwa jinsi alivyoshangiliwa , watuwamemkubali sana tu.
   
 15. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #15
  Sep 6, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,766
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  hongera kwa kulitambia maghufuli
   
 16. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #16
  Sep 6, 2011
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,918
  Likes Received: 2,348
  Trophy Points: 280
  Kwa kuwachukulia hatua hao jamaa TANROADS na mimi napongeza sana.Sasa hivi TANROADS Makao Makuu ilishaanza kuwa kijiwe cha wachina.
  Wengine wanaingia hapo na vikaptula kama wako kwao, sio siri kuwa wanamwaga michuzi kama hawana akili nzuri kwa hiyo procurement unit.

  Hebu cheki hapahttp://www.tanroads.org/phb?option=co_content$view=article@id=99&Itemed=95
   
 17. m

  mtoto wa mama Senior Member

  #17
  Sep 8, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 186
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  kitaeleweka tu..mbona watavua magwanda mwaka huu...
   
 18. Majoja

  Majoja JF-Expert Member

  #18
  Sep 8, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 610
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Magufuli has the sincirety and passion to work positively.
  Lakini Taasisi kama TANROADS zilikuwa safi sana kabla ya Mrema, itachukua miaka kuisafisha, maana rushwa pale ilikuwa ndo pake.
   
Loading...