WIKILEAKS: Asemavyo Kikwete kuhusu CCM Zanzibar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

WIKILEAKS: Asemavyo Kikwete kuhusu CCM Zanzibar

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Yombayomba, Sep 8, 2011.

 1. Yombayomba

  Yombayomba JF-Expert Member

  #1
  Sep 8, 2011
  Joined: Aug 23, 2006
  Messages: 818
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  ¶10. (C) President Kikwete offered his own insight on the
  root cause of Zanzibar's political distress: over-reliance on
  the State. He explained that the political leadership on
  Zanzibar put too much focus on the State instead of using
  democratic means and good leadership. "In elective politics,
  you may not be able to prevent change. There are limits to
  what the State can and cannot do." Kikwete emphasized that
  at the end of the day, in a democratic system, people want to
  elect a good leader who they feel can help them sort out
  their problems. The leader, however, must go out and
  convince the people because it is the people who vote, not
  the State."
  Ambassador Congratulates GOT on MCA Compact
   
 2. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #2
  Sep 8, 2011
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,808
  Likes Received: 2,581
  Trophy Points: 280
  Hii imekaa aje? Eti ccm Zanzibar inategemea mno dola kukipa ushindi badala ya "kujiuza" kwa wapiga kura. Kweli si kweli?
   
 3. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #3
  Sep 8, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,135
  Likes Received: 3,327
  Trophy Points: 280
  Wikiliki imekuwa mwiba kwa kikwete..teh! Teh!
   
 4. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #4
  Sep 8, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Hili liko wazi kabisa na siyo kwa Zanzibar peke yake bali ni kwa Tanzania nzima, hasa baada ya CCM kupoteza mvuto kwa wananchi ambao ndiyo wapiga kura, Kilichobaki ni kutegemea dola tu kukipa ushindi.
   
 5. Fred Katulanda

  Fred Katulanda Verified User

  #5
  Sep 8, 2011
  Joined: Apr 1, 2011
  Messages: 229
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Hata katika uchaguzi wa Igunga CCM inategemea sana Dola kushinda, mbona liko wazi hili
   
 6. Shenkalwa

  Shenkalwa JF-Expert Member

  #6
  Sep 8, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 580
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  KWELI. Maana kuchakachua ndio mtindo
   
 7. Baba Ziro

  Baba Ziro Senior Member

  #7
  Sep 8, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Nashindwa kuelewa kuna nini hapa, ina maana wikiliks walikuwa na mambo mengi na mazito namna hii. Kikwete na CCM kaeni chonjo.
   
 8. a

  arigold JF-Expert Member

  #8
  Sep 8, 2011
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 594
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 60
  ohh kanunuliwa siti mara ohh sijui niini

  mbona hapa hajavaa hiyo suti mnayompakazia?

  [​IMG]


   
 9. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #9
  Sep 8, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Lakini nayeye sikafanya huo mtindo the last election.!!! Hey Ulinkaha Salva? come out mshaija and say big NO to Wikileaks
   
 10. M

  Mkandara Verified User

  #10
  Sep 8, 2011
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Kuna kosa au tatizo gani maelezo ya JK?
   
 11. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #11
  Sep 8, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Suti alinunuliwa akiwa waziri wa mambo ya nje hawezi kuwa nayo leo atakuwa kanunuliwa na wengine hata hilo shati
   
Loading...