Pamoja na ushindi wa CCM huko Igunga,mimi nimebaki na maswali haya:
1.Matumizi ya fedha yaliendana na taratibu za gharama za uchaguzi?
2.Polisi na Usalama wa Taifa walitenda haki sawa?
3.Viongozi...
Niwakati muafaka kufanyika uchunguzi wa kina kupata sababu muafaka iliyosababisha wananchi kuto piga kura.
Natumaini kwa wafuatiliaji wa uchaguzi kuna mambo mengi yaliyotokea, Sababu anazozitoa...
Baada ya Chadema kupoteza Igunga nimeanza kujiuliza maswali kama chadema wana institutional framework za kuweza kuendesha nchi kubwa kama Tanzania?
Wana watu makini lakini je ni watu makini kiasi...
Wote tunajua kuwa kuna mbunge kutoka Zanzibar amefariki ila sijasikia uchanguzi kule utafanyika lini! Kama utafanyika basi itakuwa nafasi nyingine adimu kuwaelezea wazanzibari wanachokosa katika...
CDM and the pipoz pawa imefanya kila linalohitajika kuleta uelewa wa ukombozi wa kweli,lakini bado wanyonyaji ccm wameendelea kushinda katika sanduku la kura, inawezekana wanaiba kura kwa...
Nimefuatilia kwa makini matokeo ya uchaguzi wa Igunga wa tarehe 2/10/2011. Chadema Imeshinda, imevuna Kura 23,260 from ZERO ndani ya mwaka mmoja ikiwa Imeshindwa na CCM kwa kura 26,484 kwa margin...
By ROSE ATHUMANI, 4th October 2011
THE government is in the process of reviewing laws and regulations on possession of firearms to enhance control over the weapons.
The Inspector General of...
Ndugu zangu wanajamii ni matumaini makubwa kwa CDM kwa kile kilicho dhihirika Igunga licha ya kumwagwa kwa billion 10 na magamba. wito ni kwa chama chetu chakizalendo CDM kuelekeza mashambulizi...
kimtazamo, uhuru tunaopaswa kusherekea ni kuzaliwa kwa taifa la tanganyika, hata bendera inayotumiwa ni ya jamhuri ya muungano wa tanzania, viongozi wameuza utuwetu watanganyika katika muungano...
wana jf,napenda kutoa maoni yangu kama mtz,nchi inavyo enda nazani si kama lina viongozi makini na nazani kuna haja ya msingi wa kufanya mabadiliko yasiyo jali itikadi za vyama,tufanye mabadiliko...
Kwanza nawapa pole kwa wote wenye kuwa na elimu ya uraia na uzalendo kwa nchi yaopili tunapaswa kuwashukuru ccm na serikali yao kwa kufauru kwa haya yafuatayo:
Wamefauru kuwanyima elimu ya...
Naanza kuamini kauli ya Pinda kuwa mafisadi wana nguvu, hii inadhihirishwa na ushindi wa fedha walioupata CCM igunga. Kazi iliyombele kwa chadema ni Kuzidisha mapambano ya ukombozi wa nchii...
Nimefanya utafiti nikagundua kuwa karatasi ya kura ata bila ya kupigwa ikipata unyevunyevu au ukiimwagia maji inaonyesha tayari tiki imepigwa kwenye sehemu ya CCM
kama kuna yeyote mwenye shaka...
Tuesday, 04 October 2011 20:13
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Wilson Mkama
Waandishi wetu
MATOKEO ya uchaguzi mdogo wa Jimbo la Igunga yamepokewa kwa mitazamo tofauti, huku baadhi ya wasomi...
Jana usiku sana hapa ugenini nilipata kuona kwenye news za tano Tanzania ITV. Ndipo nikamuona balozi wa Vatican Askofu mkuu sijui nani katinga Ikulu na salaam za Papa lakini pia alikuwa ana aga...
Ndugu wanaJF, kwa hali inavyojionesha CCM inahaha sana mbunge au diwani wake akijiuzuru au akifa maana hakuna uhakika tena wa kuchaguliwa mbunge au diwani wa chama hicho. Hebu angalia nguvu...
CDM kwa CCM hana tofauti na mtoto mdogo tena uliemlea mwenyewe tabia zake lazma uzifaham.Sisi tumewazoea haya vp kelele zenu zimeishia wapi?Vipi CCM wameingiza tena kontena la vipodoz?
Ushindi ni...
Tue, Oct 4th, 2011
Tue, Oct 4th, 2011| Tanzania
Inspector General of Police (IGP), Saidi Mwema
The government is in the process of reviewing laws and regulations on possession of firearms...
Nilikuwa nasikiliza Sauti Amerika wameripoti kuwa katika kata moja huko Igunga wakati watu wanaendelea kupiga kura lilipita gari la sisiem likatangaza eti mgombea wa chadema amejitoa hivyo...