CHADEMA ni chama kilicho na watu makini lakini je kina muundo wa kutawala nchi kama Tanzania?

wakupita

Senior Member
Mar 14, 2011
159
97
Baada ya Chadema kupoteza Igunga nimeanza kujiuliza maswali kama chadema wana institutional framework za kuweza kuendesha nchi kubwa kama Tanzania?

Wana watu makini lakini je ni watu makini kiasi gani wa kuweza kuendesha nchi kubwa kama Tanzania?

Wanaweza kuwafikia bibi na babu waliopo huko majita,matombo na kwingineko?

Muhimu kwao sasa ni kutengeneza chama, kuwa na mikono ya chama kama baraza la wazee, wanawake kamati kuu,halmashauri kuu,baraza la vijana ambozo zina nguvu na ushawishi wa kutosha kuanzia vijijini,watu wa mjini tushaelimika,sasa waanze kuelimisha na kusambaa mijini, angalia bavicha,haionekani kuwa na watu ambao wana ushawishi,uelewa pamoja na uzoefu katika siasa.

Slaa ni mtu anayeweza kuitoa Tanzania shimoni lakini chama chake kinaweza kumbeba kama yeye alivokibeba mwaka 2010?
 
punainen-red

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
1,731
446
Sina tatizo na Chadema au chama chochote cha siasa kujieneza na kujiimarisha nchi nzima. Tatizo langu ni huu msemo feki unaosemwa hata na watawala na kutumiwa kama kisingizio cha kutokuwepo maendeleo ya maana ktk nchi hii...eti Tanganyika NI NCHI KUBWA...!! Labda kubwa kulinganisha na Lesotho, Swaziland, Burundi nk. Na nchi kama Angola, Libya Algeria nk watasemaje??!! Hivi Tanganyika ni ya ngapi kwa ukubwa Africa??
 
politiki

JF-Expert Member
Sep 2, 2010
2,376
1,504
Baada ya Chadema kupoteza Igunga nimeanza kujiuliza maswali kama chadema wana institutional framework za kuweza kuendesha nchi kubwa kama Tanzania?

Wana watu makini lakini je ni watu makini kiasi gani wa kuweza kuendesha nchi kubwa kama Tanzania?

Wanaweza kuwafikia bibi na babu waliopo huko majita,matombo na kwingineko?

Muhimu kwao sasa ni kutengeneza chama, kuwa na mikono ya chama kama baraza la wazee, wanawake kamati kuu,halmashauri kuu,baraza la vijana ambozo zina nguvu na ushawishi wa kutosha kuanzia vijijini,watu wa mjini tushaelimika,sasa waanze kuelimisha na kusambaa mijini, angalia bavicha,haionekani kuwa na watu ambao wana ushawishi,uelewa pamoja na uzoefu katika siasa.

Slaa ni mtu anayeweza kuitoa Tanzania shimoni lakini chama chake kinaweza kumbeba kama yeye alivokibeba mwaka 2010?

mheshimiwa, watu watakuwa ni hawa hawa wanachoitaji ni usimamizi mathubuti tu kama uongozi wa juu utakuwa serious watu hawa hawa
unaowaona leo hii hawafanyi kazi watafanya kazi tena ktk kiwango cha kushangaza cha msingi ni usimamizi kutoka juu.
hivi sasa watumishi wengi hawafanyi kazi kwa sababu hawana usimamizi wowote kama unavyomsikia mkurugezi wa takukuru ktk mahojiano
yake ya wiki leak anasema hawezi kufanya kazi vizuri kwa sababu uongozi wa juu ni lege lege na rais ndio kiini cha uzembe huu wote.

mkubwa wa polisi hawezi kuwaambia polisi walio chini yake wasile rushwa wakati yeye mwenyewe ni mla rushwa kwahiyo uongozi wa juu
una matter alot lakini kiongozi wa juu akiwa kama JK who is BIG JOKE mambo yote yanaharibika, hawezi kufanya maamuzi magumu, ni mtu
anayeogopa lawama na kibaya zaidi asiye na msimamo. kwahiyo ktk uongozi walio juu ndio watao shape uongozi always ukiona mambo chini
yanakwenda vizuri basi ujue juu kumekamilika lakini ukiona chini kumeoza basi ujue juu ndio kabisa hakufai kabisa.
 
utantambua

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
1,367
319
Kwani nchi inaendeshwa na chama ama serikali? Chadema walivyo hivi leo wana kila kinachohitajika kuendesha nchi
 
HISIA KALI

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
694
108
Baada ya Chadema kupoteza Igunga nimeanza kujiuliza maswali kama chadema wana institutional framework za kuweza kuendesha nchi kubwa kama Tanzania?

Wana watu makini lakini je ni watu makini kiasi gani wa kuweza kuendesha nchi kubwa kama Tanzania?

Wanaweza kuwafikia bibi na babu waliopo huko majita,matombo na kwingineko?

Muhimu kwao sasa ni kutengeneza chama, kuwa na mikono ya chama kama baraza la wazee, wanawake kamati kuu,halmashauri kuu,baraza la vijana ambozo zina nguvu na ushawishi wa kutosha kuanzia vijijini,watu wa mjini tushaelimika,sasa waanze kuelimisha na kusambaa mijini, angalia bavicha,haionekani kuwa na watu ambao wana ushawishi,uelewa pamoja na uzoefu katika siasa.

Slaa ni mtu anayeweza kuitoa Tanzania shimoni lakini chama chake kinaweza kumbeba kama yeye alivokibeba mwaka 2010?

Kuna vitu viwili hapa. CHAMA na SERIKALI. Serikali ndiyo inatawala nchi sio CHAMA. Hivyo usiwe na wasiwasi. Chama chochote kishinda uchaguzi wa urais kinaweza kusimamia nchi vizuri tu. Kuna watanzania wengi tu wanafanyakazi serikali kama wataalum na sio wanasiasa. Hawa ndio wanaendesha nchi. Rais kazi yake ni kutoa tu malekezo ni sera gani itekelezwe. kama sera ni nzuri kama maana ya kutekelezeka basi wataalum watafanya hivyo.

Hata ndani ya CCM kuna watu wengi tu wana nia njema na nchi yetu hao wanafahamika na wanaweza kutumikia serikali isiyotokana na CCM. Kwa mfano Rais wa Marekani Barack Obama alimpa kazi ya waziri wa ulinzi mtu ambaye alikuwa anashikilia nafasi hiyo hiyo wakati wa rais Bush. Ina maana kwamba mtu huyo ni wa chama tofauti na cha Obama. Pia hivi karibuni rais wa Zambia Michael Sata amewateua badhii ya mawaziri wake (4) kutoka chama kilichoshindwa uchaguzi wa rais. Muhimu hapa ni kuangalia watu wachapakazi na wenye nia njema na nchi. Hawa watu watakuwa wanatekeleza sera kama jinsi watakavyoelekezwa na rais mwenyewe. Na rais akiona hawafanyi hivyo anakuwa na mamlaka ya kuwaondoa na kuweka wengine mara moja.

Kimsingi nchi inatakiwa kuwa na rais aliye makini na mahiri katika kazi zake. Na hili ndio tunakosa hapa Tanzania. Ndio maana kila siku Prof. Lipumba anasema nchi ina obwe ya uongozi (Leadership vaccum).
 
kikahe

JF-Expert Member
May 23, 2009
1,350
279

Pamoja Mkuu, hapo umenena.
 
Najaribu kuelewa your stand mheshimiwa but chama in most of the situations hapa kwetu ndo kimekua serikali,Angalia dhana ya ccm kuwa na mwenyekiti wa chama ambae ni rais,wabunge kukutana kama kamati ya chama ili kujadili bajeti,mambo mengi yanaamuliwa katika ngazi za chama kwanza ndo yanapelekwa bungeni kuwa rubberstampled,so uwepo wa chama tawala imara una direct impact na uwepo wa serikali imara!

Leo hii mkuu wa mkoa au wilaya anajaribu kumplease mtu kama nape na wenzake kisa wana mamlaka kwenye chama.

Bungeni ambapo directly or indirectly maisha ya Tanzania ya leo na kesho yanaamuliwa wale waishiwa most of the time wanapiga kura based on chama,there is no way hata cku moja wanaweza kusema tunapiga kura ya kutokuwa na imani na rais na serikali yake au tunajadili kumpunguzia nguvu na madaraka rais (angalia swala la pinda, jairo na luhanjo)

So ili chadema kiweze kutawala vizuri ni suala la kujiimarisha kichama kwanza bila hivo hawa ccm day in day out watakua wanaendelea kutubuluza na kutuaminisha kwamba wenyewe tuu ndio wameumbwa kutawala hii nchi!
 
SEAL Team 6

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
655
118
Mbona wengi sana, anzia na Baraza la Mawaziri Kivuli kisha endelea kwa madiwani, then malizia kwa wasomi wote vyuo vikuu.
 
Kamakabuzi

JF-Expert Member
Dec 3, 2007
2,622
1,089
Watu wako wengi sana hata wakitaka kuoverhaul kuanzia mtendaji wa kijiji.
Ebu tafuta waliogombea ubunge kwa tiketi ya cdm ni wangapi; wengi wao ni watu makini sana mfano Deusdedith Jovin Kahangwa wa Karagwe. Huyu ni mjenga hoja kama akina zitto, halima mdee, mnyika nk.
Kuna hao wasomi walio kwenye mawizara wasioridhika na ccm - hivi unafikiri siri za serikali cdm wanazipata vipi? (kuna watu).

Kuna vijana wanaomaliza vyuo vikuu, kuna wanaomaliza kidato cha sita na nne. Ni wengi, kama hao wa formIV ni kuwapa kozi ya mwaka mmoja halafu wanakuwa watendaji wa vijiji na kata nk.
Kama wengi walivyosema. kinachohitajika ni uongozi wa juu.
 
BBJ

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
1,183
159
watu wako wengi sana hata wakitaka kuoverhaul kuanzia mtendaji wa kijiji.
Ebu tafuta waliogombea ubunge kwa tiketi ya cdm ni wangapi; wengi wao ni watu makini sana mfano deusdedith jovin kahangwa wa karagwe. Huyu ni mjenga hoja kama akina zitto, halima mdee, mnyika nk.
Kuna hao wasomi walio kwenye mawizara wasioridhika na ccm - hivi unafikiri siri za serikali cdm wanazipata vipi? (kuna watu).

Kuna vijana wanaomaliza vyuo vikuu, kuna wanaomaliza kidato cha sita na nne. Ni wengi, kama hao wa formiv ni kuwapa kozi ya mwaka mmoja halafu wanakuwa watendaji wa vijiji na kata nk.
Kama wengi walivyosema. Kinachohitajika ni uongozi wa juu.
good comments..!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom