Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wana JF naomba kwa ajuaye aliko huyu mwanasiasa wa kitambo ni mmoja kati ya wazee wa CCM nilikuwa nikimfahamu toka akiwa mtangazaji pale RTD Pugu Road enzi zile na mpaka kuhamia kwenye siasa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna baadhi ya Watanzania wenzangu wananishangaza na kunisikitisha sana. Na hii ni pale wanapo hadaliwa na viongozi wa chama na serikali iliyoko madarakani kuhusu mafanikio yaliyopatikana tangu...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Watanzania tumechoka na mauchafuyenu ya kutufanya sisi hatuna akili, We umeme gani wiki ya pili sasa hauwashi hata TV, sasa kuna umuhimu gani wa kuwa na shirika Bovu ambalo halina uwezo wa kutoa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Namesikiliza kipindi kichokuwa hosted mwandishi mkonge Wakuhenga channel Ten. Wakuhenga ameongea kwa uchungu sana kuhusu ubinafsishaji amesema tumebinafsisha kila kitu isipokuwa wake zetu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Friend -- If you've been able to sit through any of the Republican presidential debates so far, I commend you for your patience and commitment to the President. With all the talk about...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
The following is brief summary on the awards issued by the International Chamber of Commerce (ICC) in November, 2010 on the Arbitration Cases instituted by Richmond Development Company...
0 Reactions
4 Replies
17K Views
Gesi (15kg) from 45,000 to 70,000 Sadolin ya mkaa iliyokuwa inauzwa 1500 sasa ni 3000 kwa sisi wajenzi nondo zile za 12,000 sasa ni 17,000! kwa kifupi vifaa vya ujenzi vimepanda sana! kama...
1 Reactions
105 Replies
9K Views
Why Mo Ibrahim’s petty cash won’t stop African leaders from stealing By Jenerali Ulimwengu My criminal law professor, Bob Seidman, always sprinkled his lectures with spot-on anecdotes...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Sababu ambazo zitamfanya JK asikubali kofia za uenyekiti na uraisi zitenganishwe: 1. Atakua raisi wa kwanza kuvuliwa kofia hilo. Kwake yeye ataichukulia kama kuonekana dhaifu. 2. Itampunguzia...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
mazishi yamehudhuriwa na waziri wa mambo ya nje benad membe, suleiman kova, salma kikwete NI MAZISHI YA MCHINA ALIYEFARIKI KWA KUPIGWA ROBA lkn watanzania wanatandikwa risasi, wanauwawa kinyama tn...
4 Reactions
59 Replies
6K Views
Leo nilikutana na mwalimu wangu wa zamani hapo Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Anasema kuna mgogoro mkubwa unaendelea hapo chuoni kati ya uongozi na walimu juu ya kusudio la seneti kumtunuku Rais...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Tue, Oct 18th, 2011 Tue, Oct 18th, 2011| Tanzania Mustapha Sabodo The government is holding discussion with a prominent Dar es Salaam-based businessman, Mr Mustapha Sabodo, who promised to...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Matokeo ya Uchaguzi mkuu yaliyotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yalijaa utata, Mwanahalisi limegundua. Taarifa kutoka ndani ya NEC, vyama vya siasa na baadhi ya wagombea, zinasema...
0 Reactions
94 Replies
9K Views
Kwa sasa kuna crisis ya kuporomoka kwa TSHS against USD.Je chadema ingesolve vipi tatizo hili? Cant you advise mkulo on this?
0 Reactions
73 Replies
6K Views
Wakati huo huo, zaidi ya wanachama 50 wa CCM, akiwemo aliyekuwa kada wa chama hicho wa kikosi cha Green Guard, Ayub Mlwilo, mkazi wa Rujewa na wakazi wengine 138 wamejiunga na Chadema. Mavuno...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
MAMA NKYA na Watanzania nipo hapa Mwananyamala Hospital umeme umeshakatika mara 5 sasa na ninavyo post hii thread umekatika tena,Naomba kujua maandamano lini tuweze kumwonyesha Kikwete na Dunia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mkurugenzi mpya wa Halmashauri ya Kilwa, ameonekanaTBC1 akihojiwa juu ya watendaji wazembe aliowawajibisha, hofu yangu ni kwamba utakaa mwezi tuu utasikia ametimuliwa kama ilivyokuwa huko Mtwara-...
0 Reactions
0 Replies
995 Views
Baada ya kushindwa kutekeleza ahadi zake sasa chama hiki kimeamua kuja na mchezo wa kujivua gamba Hii inawasaiidia pale wanapo ulizwa na wananchi wamefanya nini cha maana tangu uchaguzi mkuu ulio...
0 Reactions
0 Replies
934 Views
Wakuu,ni wiki nzima sasa wananchi wa Mlalakuwa Dar es Salaa,mtaa ulioko mkabala na Mlimani City.Hawana Umeme kutokana na kuharibika kwa Transforma.TANESCO waliambia wakaja kuchukua transforma na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika mshangao mkubwa aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa wa Morogoro na kada maarufu wa CCM stephen Mashishanga amekitaka chama cha mapinduzi kumfukuza mara moja kada wa chama hicho Mustapha Sabodo kwa...
2 Reactions
114 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…