Sijui kama atamaliza mwaka hapo Kilwa

Neng'uli

Senior Member
Aug 1, 2011
126
33
Mkurugenzi mpya wa Halmashauri ya Kilwa, ameonekanaTBC1 akihojiwa juu ya watendaji wazembe aliowawajibisha, hofu yangu ni kwamba utakaa mwezi tuu utasikia ametimuliwa kama ilivyokuwa huko Mtwara- Wilaya ya Nanyumbu. Huyu jamaa alionekana ITV akikabidhiwa mamilioni ya mradi wa maji aliyoomba ubarozi wa Japani. Mara tuu baada ya kupokea fedha hizo Dar alipofika Nanyumbu hakumaliza wiki akatupwa Kilwa.


Sasa nashindwa kuelewa Hapa anapambana na ufisadi na kuhamishwa malengo ni nini?
Kama kuna mtu wa Kilwa atujuze huko imekuwaje
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom