Maandamano makali dhidi ya tanesco

Mkombozi

JF-Expert Member
Feb 19, 2008
806
426
Wakuu,ni wiki nzima sasa wananchi wa Mlalakuwa Dar es Salaa,mtaa ulioko mkabala na Mlimani City.Hawana Umeme kutokana na kuharibika kwa Transforma.TANESCO waliambia wakaja kuchukua transforma na mpaka leo hamna kinachoendelea.Hii imekwamisha shughuli nyingi sana za kibiashara na za manyumbani.Kutokana na hali hii kama umeme hautawaka Jumatano au alhamisi wiki hii,wananchi wote wa mlalalkuwa na wale wenye mapenzi mema tutaandamana kuelekea Tanesco Mikocheni kudai haki zetu za msingi za kupewa huduma.Tunaomba polisi watoe ushirikiano kwani itakua ni maandamano ya amani kabisa bila fujo
 
Back
Top Bottom