Tumebinafsisha kila kitu ispokuwa wake zetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tumebinafsisha kila kitu ispokuwa wake zetu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kurunzi, Oct 18, 2011.

 1. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2011
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,003
  Likes Received: 325
  Trophy Points: 180
  Namesikiliza kipindi kichokuwa hosted mwandishi mkonge Wakuhenga channel Ten. Wakuhenga ameongea kwa uchungu sana kuhusu ubinafsishaji amesema tumebinafsisha kila kitu isipokuwa wake zetu.
  Mchangiaji mmoja mhadhiri wa chuo kikuu Bashiri naye amesema tunashindwa hata kugema pombe na kutengeneza ugolo mpaka tuwaite wawekezaji.
   
 2. Kiungani

  Kiungani JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2011
  Joined: Feb 2, 2007
  Messages: 274
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Naona Makwaia wa Kuhenga alipitiwa kidogo.

  Huko Igunga kuna mke 'alibinafsishwa' pia kwa 'mwekezaji' ili kupata ushindi wa chama. Kwa hiyo ufisadi hata katika wake/waume upo.
   
 3. oba

  oba JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 307
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Hao mnaowaita wake zunu nao si wenu tena washachukuliwa long, mmejaa kujifariji kuwa wote walioendelea waliuza wake zao!
   
 4. SILENT ACtOR

  SILENT ACtOR JF-Expert Member

  #4
  Oct 19, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Wake zenu pia wamejibinafsisha kwa mabwana wa nje bila ninyi waume kujua. Ndo maana kwa uchungu wengine wanasema bora nchi yote iuzwe kila mtu achukue chake.
   
 5. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #5
  Oct 19, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  hata hiyo inakuja.......... ni ubia tu kwa kwnda mbele, we angalia kwa sasa infidelity iko level gani, almost 60%
   
 6. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #6
  Oct 19, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,452
  Likes Received: 81,691
  Trophy Points: 280
  Mbona unapunguza namba Mkuu? :):) nasikia iko above 80%, lakini usiniulize research hii ilifanywa lini na ni nani aliyeifanya :):)
   
 7. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #7
  Oct 19, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,266
  Likes Received: 22,024
  Trophy Points: 280
  Hausiboi wako kesha jibinafsishia mkeo
   
 8. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #8
  Oct 19, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  yalaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.... dah, sio balaa hilo sasa???

  60% si mbaya, ikifika 80% sijui DNA failure itakua iko level gani
   
 9. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #9
  Oct 19, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,266
  Likes Received: 22,024
  Trophy Points: 280
  sasa haya matoi imetuwekea ili tuyapoeleke wapi?
   
 10. S

  Simcaesor Senior Member

  #10
  Oct 19, 2011
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 112
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inasikitisha sana, mpaka machozi yanantoka, watoto wetu watakuta nini kama sisi ambao tumekuta rasimali za kutosha hatuna faida nazo kaka na hawa wake walishawachukua kitambo wakiwapa hizo ajira zao si mpaka wawape gemu, nalia kwa uchungu kukwambia kwamba na wao wamebinafsishwa tena kabla ya vitu vingine... hihihihihihhi!
   
 11. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #11
  Oct 19, 2011
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,003
  Likes Received: 325
  Trophy Points: 180
  Hapo ni kweli kabisa, katika ile misingi ambayo baba wa taifa alisisitiza ni kujitegemea sasa kwakuwa wenzetu walipuuza na kuvunja msingi huu ambao ni muhimu kwa mtu aliye huru hatuna ujanja, na jambo la kusikitisha tena tunawawekea mazingira mazuri ili wawachukue kiulaini hii ni hatari sana kwa mstakabali wa kizazi kijacho.
   
Loading...