Kifo cha MCHINA 1 ni sawa na VIFO VYA WATANZANIA 1000 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kifo cha MCHINA 1 ni sawa na VIFO VYA WATANZANIA 1000

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Angel Msoffe, Oct 17, 2011.

 1. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  mazishi yamehudhuriwa na waziri wa mambo ya nje benad membe, suleiman kova, salma kikwete NI MAZISHI YA MCHINA ALIYEFARIKI KWA KUPIGWA ROBA lkn watanzania wanatandikwa risasi, wanauwawa kinyama tn na hao wachina, wanakufa kwa kuvamiwa na majambazi sijaona waziri akihuzuria mazishi lbd wafe Watanzania zaid ya 1000, KWA HALI HII SIDHANI!
   
 2. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #2
  Oct 17, 2011
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Rangi ndugu yangu! rangi nyeupe sijui ina nn kwetu waafrika!
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Oct 17, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,335
  Likes Received: 22,187
  Trophy Points: 280
  PHUCK CCM na vibaraka wake wote
   
 4. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #4
  Oct 17, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Hata mimi nimeshangazwa sana na umaskini wetu wa mawazo. Kweli hii ngozi sijui ilikosa nini, acha dadangu aendelee kutumia CAROLIGHT tu labda Mungu atamuona siku moja.
   
 5. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #5
  Oct 17, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  haina tatizo kwani hata sheikh yahya, mzee remmy, abuu semhando, bakari, mtoto wa mwapanchu nk wanazikwa na viongozi wakubwa tu... hat wengine waliokufa kwa drugs overdose walizikwa na viongozi. hata aliyeuwawa na ditopile pia alizikwa vyema

  it is not a problem as long as aliyeuwawa na majambazi anapata haki yake, nayo ni kukamata hao majambazi
   
 6. N

  Ngoiva Lewanga Senior Member

  #6
  Oct 17, 2011
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  membe, salma na kova walikuwa wanajitetea mbele ya wachina kama vile ndo watuhumiwa.
   
 7. mysteryman

  mysteryman JF-Expert Member

  #7
  Oct 17, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hahahah dah mkuu.....nimecheka sana
   
 8. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #8
  Oct 17, 2011
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Ajali kazini,huyo mchina wa kichina alishindwa kuruka karate,hu ha master
   
 9. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #9
  Oct 17, 2011
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Mkuu naona unatuburuza unavyotaka sasa, Kuhuduria mazishi ni kukamata wauaji?
   
 10. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #10
  Oct 17, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Ni vihere here vyao!!!
   
 11. only83

  only83 JF-Expert Member

  #11
  Oct 17, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180

  Kule kwenye migodi ya North Mara wanakufa watu kila iitwapo leo,sijamuona hata mwenyekiti wa mtaa kuhudhuria kwenye misiba hii,tunaposema kuwa kuna tatizo uwa hatuelewi........
   
 12. only83

  only83 JF-Expert Member

  #12
  Oct 17, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Haa baba mwita25 wape maneno,ila kuwa makini asije Nape akakulisha sumu kama wengine wanavyolishwa,wenzako wanapelekwa India wewe utafia pale Mbagala Health Centre....
   
 13. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #13
  Oct 17, 2011
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wewe ni rangi gani,namaanisha yani unatoka Africa au Mabara mengine duniani?
   
 14. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #14
  Oct 17, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  hahahaaaaaaaaaaa
   
 15. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #15
  Oct 17, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mi nasikitika kweli hivi kwa nini hatujipendi na hatupendani au kuthaminiana,what a shame,hivi nini maana ya uzalendo?je viƶngozi wetu ni wazalendo,
   
 16. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #16
  Oct 17, 2011
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  kwikwikwi
   
 17. M

  Makupa JF-Expert Member

  #17
  Oct 17, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Umaskini wetu kama nchi unatuponza sana ni lazima tuwapigie magoti hawa wakubwa,kumbuka ya kuwa mwalimu Nyerere aliwahi kusema ya kwamba adui mkubwa wa binadamu mmojawapo ni umaskini'.Tatizo moja kubwa la umaskini si tu unakosa kujiamini hata kupanga unachotaka ni tatizo
   
 18. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #18
  Oct 17, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Mkuu nnaomba niongezee kidogo hapa,pia maiti wale wa Nyamongo walitupwa tu barabarani Kama vile takataka na bora takataka linahifadhiwa mahali husika.
   
 19. Nico1

  Nico1 JF-Expert Member

  #19
  Oct 17, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 746
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 60
  eti wanatetea kauli watanzania ni wakalim,wapenda amani na mwisho watz ni wapole...ha..ha...ha. wanajivika ngozi ya kondoo kumbe ndani ni umbwa pori.
   
 20. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #20
  Oct 17, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  tabia hii ya viongozi wetu kuwa2kuza wageni na kutudharau wazawa itafanya wazawa tuwafanyie visa wageni mpaka waione TZ nuksi
   
Loading...