Mama Analeliya Nkya Maandamano lini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mama Analeliya Nkya Maandamano lini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Giddy Mangi, Oct 18, 2011.

 1. G

  Giddy Mangi JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 833
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  MAMA NKYA na Watanzania nipo hapa Mwananyamala Hospital umeme umeshakatika mara 5 sasa na ninavyo post hii thread umekatika tena,Naomba kujua maandamano lini tuweze kumwonyesha Kikwete na Dunia tulivyochoka.Ccm na Kikwete na Miaka yenu 50 ya Uhuru tupo gizani Shame on you Ccm.
   
Loading...