TANESCO Kama mmeshindwa kutoa huduma ya umeme Tanzania muache

silver25

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
743
44
Watanzania tumechoka na mauchafuyenu ya kutufanya sisi hatuna akili,
We umeme gani wiki ya pili sasa hauwashi hata TV, sasa kuna umuhimu gani wa kuwa na shirika Bovu ambalo halina uwezo wa kutoa huduma ya asilimi 100...

Hivi hakuna uwezekano wa kuwadai Tanesco kama kuna uharibifu fulani utakao tokea kwasababu ya kuwashwa na kuzimwa kwa Umeme kama wanacheza game?

Na sisi watanzania tumezidi ubwege bana tunakubalikubali vitu tu bila kuwa na manufaa navyo huu upuuzi huu
 
Back
Top Bottom