UDSM kumtunuku JK shahada ya falsafa ya udaktari? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UDSM kumtunuku JK shahada ya falsafa ya udaktari?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Matungwa, Oct 17, 2011.

 1. M

  Matungwa Member

  #1
  Oct 17, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Leo nilikutana na mwalimu wangu wa zamani hapo Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Anasema kuna mgogoro mkubwa unaendelea hapo chuoni kati ya uongozi na walimu juu ya kusudio la seneti kumtunuku Rais Kikwete shahada ya falsafa ya udaktari.

  Ameniambia Prof. Mukandala anadai vyuo vingi vimekuwa vikimtunuku shahada wakati chuo kikuu hakijafanya hivyo.

  Walimu wanadai hakuna sababu ya kufanya hivyo maana ni wazi kuwa ameshindwa kuongoza nchi hii
   
 2. Pakawa

  Pakawa JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2011
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,726
  Likes Received: 3,144
  Trophy Points: 280
  Prof.Mukandala asiwafanye watanzania mbumbumbu kwani hizo shahada zinatolewa kama njugu? Asipewe bana alizopewa zinatosha 2015 atazivua zote. AMESHINDWA KUONGOZA NCHI- AHADI HEWA NYINGIIIIII!! msitufanye wajinga
   
 3. Waminshari

  Waminshari Member

  #3
  Oct 18, 2011
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Huwa sielewi kwanini Huyu huwa anapewa hizi shahada huwa zinakua based on what criteria exactly. Coz usually 85% of the things that come out of his mouth is total ignorance. I mean really a doctorate is a big deal, I just don't think it shud be handed out randomly like that. Ni wazo langu.
   
 4. BRUCE LEE

  BRUCE LEE JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1,158
  Trophy Points: 280
  Na hao ma profesa wa udsm tunajua wanachowafanya mabint wa watu hapo chuoni wana wa bonk na kuwapa marks za bure hivo sioni ajabu kumtunuku jk ina udhi sana sijui lini wataacha kujipendekeza rwanda kuna profesor alim disqualify mke wa kagame wakati anajua ni mke wa rais sio hao ma bonkist wa udsm tunuku tunuku hovyo kujipendekeza kwa wanasiasa
   
 5. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #5
  Oct 18, 2011
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 864
  Trophy Points: 280
  Mimi nitarudisha digrii yangu niliyopata hap UDSm miaka ya zamani kama wakifanya hivyo; after all siihitaji tena ila tu naitunza kwa ajili ya pride kuwa nami ni alumni wa UDSM.

  Sasa iwapo UDSM inajibadilisha kuwa ya kata, basi hiyo pride haitakuwapo tena.
   
 6. BRUCE LEE

  BRUCE LEE JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1,158
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha mzee kichugu sio siri inakera mno yaani kama fasion kila siku wanamtunuku sijui kuna siri gani hapo ****** mwenye na hakika haijui misingi ya falsafa na magwiji wa falsafa akina thales,anexmanes,anexmandes,anaxagoras,plato,socrates,crito, critobulus,aristato,pythagorus pamoja na nadharia zao. Jamani philosopher is a great thinker some one who can reason beyond ordinary thinking capacity sasa huyu mtunukia wetu sote tunamjua pamoja na uwezo wake wa kufikiri may be wanamtuku kwajili ya kujichekesha chekesha.
   
 7. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Inashangaza kusikia sababu anayotoa Prof. Mukandala eti vyuo vingi wamempa. Kwanza hiyo si sababu ya msingi, maana huwa inatolewa kwa kutambua mchango wake fulani, pili si kweli kuwa vyuo vingi vimempa, hapa TZ ni chuo cha kisiasa (UDOM) ndiyo kimefanya hivyo.
   
 8. Tyta

  Tyta JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2011
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 12,846
  Likes Received: 2,871
  Trophy Points: 280
  Jana tulikua na mkutano na Mkandara pale yombo 4,katika hotuba yake aliongelea kuhusu utunukiwaji wa shahada mbalimbali siku ya kilele cha maadhimisho ya miaka 50 ya jubilee,namnukuu:...pia kutakua na kuwatunuku wahitimu mbalimbali wa shahada ya kwanza,uzamili,uzamivu na"PENGINE" shahada za heshima'mwisho wa kunukuu...hii inaonesha dhahiri bado hakujawa na uhakika wa hili...
   
 9. facebook

  facebook Senior Member

  #9
  Oct 18, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Apewe tu hiyo shahada. Kwani inakuaffect nini? Sana sana itamsaidia yeye na familia yake au hata isimsaidie chochote!
   
 10. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #10
  Oct 18, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  There could be a possibility kwamba JK amemuuliza mshkaji wake, "mbona wewe hunipi shahada wote wananipa?? dont you appreciate me?"
   
 11. facebook

  facebook Senior Member

  #11
  Oct 18, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hivi Mkapa naye alipewa na UDSM udkt wa heshima?
   
 12. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #12
  Oct 18, 2011
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,696
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 180
  Mukandara ni "mwanamtandao". Kwa hiyo hilo shinikizo kutoka kwake ni jambo la kutegemewa. Lakini itakuwa aibu kama Senate ya UDSM itakubaliana naye. Kwani ni lazima rais kupewa Ph.D? Mbona Mkapa na Mwinyi hawakupewa? Kwa maoni yangu hawa walikuwa nafuu kumzidi ******.
   
 13. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #13
  Oct 18, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  One is Enough - The one he got it from Muhumbili; Will not help his LEGACY

  He has to build it from scratch and not pick and choose what to have as a tittle to me he act like a dictator Me Me Me Me...
   
 14. H

  HAKI bin AMANI Senior Member

  #14
  Oct 18, 2011
  Joined: Sep 5, 2011
  Messages: 156
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naunga mkono hoja. Apewe shahada ya Udaktari wa heshima ya usanii kwa kuifikisha nchi pabaya. Na hapo sasa Chuo kikuu kitaitwa CHOO KIKUU.
   
 15. c

  chante Senior Member

  #15
  Oct 18, 2011
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  kaka nimeikubali sana hyo conversation mostly pale alpouliza 'dont u appreciate me?'
   
 16. DASA

  DASA JF-Expert Member

  #16
  Oct 18, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 1,031
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Hiyo PhD atapewa tu mkandara na si UDSM.
   
 17. i

  ichawinga Member

  #17
  Oct 18, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sasa naona udsm wanataka kucheza na watu wanao wazunguka, hivi huyo mtu wenu akipewa shahada ya falsafa kwani amefanya nini cha maana labda mkandara siku hiyo ya kumtunuku atasema kile alichofanya kwenye jamii yake, kwa mawazo yangu wangemsaidia mawazo ya ili aweze kwenda kudili na ishu nyeti zinazo sumbua this country tz hapo tutawaona wa maana sana................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 18. c

  chante Senior Member

  #18
  Oct 18, 2011
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  kama kweli akipewa/ku2nukiwa...ntaongea na wanasheria wangu nini cha kufanya ili nijue namna /njia za kufuata ili jina langu liondolewe ktk wale walio graduate udsm...sasa sijui km loan board wataendelea kunidai coz bdo cjaanza kulipa lile deni/mkopo wao!
   
 19. l

  limited JF-Expert Member

  #19
  Oct 18, 2011
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 300
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  kam jk akipewa basi na rostam apewe sababu wameongoza nchi vizuri
   
 20. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #20
  Oct 18, 2011
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ..bora wampe tu, isije ikawa kama Nyerere, maana alipewa PhD harafu ikakaliwa mpaka tukaja fahamu akiwa amefarik
   
Loading...