Poul Sozigwa yuko wapi ?

mooduke

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
628
111
Wana JF naomba kwa ajuaye aliko huyu mwanasiasa wa kitambo ni mmoja kati ya wazee wa CCM nilikuwa nikimfahamu toka akiwa mtangazaji pale RTD Pugu Road enzi zile na mpaka kuhamia kwenye siasa lakini sasa ni takriban miaka 15 na tano sijasikia habari zake na hajafa natumai yungali hai. Tafadhali mwenye habari zake anijuze waungwana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom