Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sababu kuu za wabunge kudai nyongeza za posho kila kukicha ni hizi hapa; Kwanza ni uelewa mdogo wa wananchi juu ya kazi za mbunge, pamoja na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuianisha...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
jamani hili watu kukamatwa jana kisa umevaa vazi la chadema jana jijini DAR na kupelekwa vituoni kisha unaambiwa ukavue si kuingilia uhuru wa watu jamani kweli polisi wamechanganyikiwa na magwanda...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
'Kama noma na iwe noma' ukweli utabaki ukweli, hali ya nchi yetu kutaka au kufanana na Somalia (nchi iliyokosa serikali kwa zaidi ya miongo 2) imechangiwa kwa zaiddi ya asilimia 60 na wanawake wa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wananchi wamechoka hawasikii la mtu!!! wanasiasa hawasikilizani vijembe kwenda mbele!!! polisi hawatumii busara sehemu ya kuongea wao wanapiga bila hata kujua wanawapiga mwananchi kwa ajili...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau nisaidieni tofauti ya maneno haya kama yanavyotumika kwenye procurement. 1.New 2.Used 3.Recondition 4.Scrappers Nawasilisha!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani, tuzizubaishwe na ukweli kwamba Jakaya ameshindwa GROSSLY kuiongoza serikali yetu, na kwamba hakubaliki kabisa hapa nchini kiasi cha kugaragazwa vibaya sana na DR kwenye uchaguzi wa mwaka...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
CCM Chama cha kuhurumiwa kweli. Kila wanachosema kinakuwa na mapungufu mengi yanayoonekana wazi hata kwa wanafunzi wa chekechea. Waziri Mkuu Mizengo Pinda, jana Bungeni analalamika kuwa...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Itakumbukwa kwamba wiki karibu mbili zilizopita, wakili mmoja kijana wa mjini Arusha alitiwa mbaroni kutokana na kukutwa na takribani shilingi bilioni 18 kwenye akaunti yake ya ndani na uchunguzi...
0 Reactions
44 Replies
6K Views
The discussion about homosexuality currently taking place in the media as a result of an ill conceived remark made by Cameron, the British Prime minister, that commonwealth members who will not...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwandishi mahiri wa safu ya HOJA YANGU katika gazeti la Raia Mwema Lula wa Ndali Mwananzela ameibuka na hoja fikirishi kuhusu ushoga nchini Tanzania huku akipangua hoja uchwara za akina Membe na...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
There is the big diffarence between to lead and to manage. The job of the leader is to gather, to manage and to lead people to certain cause. To show people which direction a country must take...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwezi wa Saba Viongozi wa dini kutoka Norway, Canada, Botswana, Afrika Kusini na Zambia waliungana na wenzao wa Tanzania (TEC/BAKWATA/CCT) kutembelea wahanga wa uhalifu unaotendwa na wawekezaji...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Ameanza kuelezea jinsi Lema alivyojifungisha gerezani Waziri Mkuu alikuwa akijibu swali la Mbunge wa Ubungo, John Mnyika (Chadema) aliyesema kuwa mgogoro wa vyama vya CCM na Chadema wa umeya wa...
0 Reactions
47 Replies
6K Views
anajifanya anapinga ufisadi kwenye mambo asiyokuwa na manufaa nayo nayeye ni fisadi mzuri tu ndio alyesababisha cda dodoma mpaka leo kushndwa kufikia malengo ya kuwa mjii mkuu sababu jamaa hela...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Italia ,Ugiriki na Nchi nyingine za ulaya ambazo huwa tunaziita Nchi wahisani zina hali mbaya sana kiuchumi sasa sijui kama sisi ambao tunawategemea wao kwa misaada kama tutatoboa na ishu zetu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Si mwepesi sana ku-respond haraka katika issues mbalimbali za taifa hili! Juzi kafanya haraka na kuvunja mwiko wake.. kawatisha watanzania eti amani iko hatarini kutoweka! Aliyesema ni Rais wa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wazee nimeshitushwa na habari nzito za kwamba balozi wetu huko London aliyehamishiwa Paris, kuwa amechukua picha ambazo ni mali ya serikali yetu, kwa maana halisi ni kwamba "AMEZIIBA", kama habari...
0 Reactions
71 Replies
11K Views
Where in this world is easy money as this!! ----------------- LAST Friday I woke up early and took my time to get up from bed. After all, we had been told that power would rein on Friday and...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mbona haongelei mambo ya CDA na TIC? Mambo ya kabla ya 80, karibu kila Mtanzania alikuwa mzalendo. Dawa ya milioni mbili, nyumba ya mabilioni, ni fisadi tu na yeye. Sitta awaponda wanaosema...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Diwani wa Kata ya Unyambwa katika Manispaa ya Singida, Nd. Shaaban Salumu Satu amemtembezea kipigo cha mbwa mwizi, na matusi ya nguoni, mfanyakazi katika ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…