In moment like this: Chadema chama tawala | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

In moment like this: Chadema chama tawala

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Waberoya, Mar 2, 2011.

 1. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #1
  Mar 2, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,593
  Likes Received: 3,887
  Trophy Points: 280
  Si mwepesi sana ku-respond haraka katika issues mbalimbali za taifa hili! Juzi kafanya haraka na kuvunja mwiko wake.. kawatisha watanzania eti amani iko hatarini kutoweka!

  Aliyesema ni Rais wa nchi, hajasema Chadema wamevunja sheria gani na wapi...hajasema walisema nini cha uongo....INFACT JUZI KIKWETE HAKUONGEA KAMA RAIS...bali aliongea kama anataka aonewe huruma. Nashindwa kupata picha angekuwa Saddam kipindi kile, au Mubarak juzi au Gaddafi sasa hivi.... si ndio unaenda maliwatoni gesi tu inatoka... kutokana na hofu.

  Udhaifu aliouonyesha Kikwete ni mtaji mkubwa sana kwa wapenda mabadiliko, inaonekana ameishajitayarisha kuikimbia nchi, maana anajua maovu aliyoyafanya YANAONEKANA.

  Tofauti na wengi walivyoichukulia kauli ya KAFULILA...KAULI YA KAFULILA ni kauli ya kiongozi yeyote ambaye hataki blah! blah! kama CDM wamevunja sheria basi washtakiwe na SIO kuwatisha wananchi! Chadema haijapewa bichwa ila ina bichwa!!! Kafulila ameisadia serikali mno lakini AMEKISAIDIA CHADEMA zaidi...ANAKUWA KAMA ANAFANYA CONFIRMATION KUWA KIKWETE ANAIOGOPA CHADEMA!!! sijaona ubaya katika hilo...STILL CDM need to act like Kafulila maana kumbukeni MKIM'BISHIA RAIS NA KUKOSOA STATEMENT ZAKE NDIO MMEKOSOA MFUMO MZIMA, MKIKAA KIMYA RPC wa mikoani watawasumbua sana...NADHANI SIASA ni action, Kikwete karusha kombora kutisha raia na NYIE CDM mjibuni kurudisha raia kundini..this is what we have been telling you guys to ACT ASAP in situation like this!

  Katika situation kama hizi, katika mida kama hii, narudia katika nyakati kama hizi, pengine hamnielewi....IN MOMENT LIKE THIS... when CCM looks chadema as RULING PARTY...in every corner... ni CDM kuamua tu muingie IKULU AU LA!!! POLISI WILL ONLY DELAY PROCESS BUT THEY WONT DELAY TRUTH!

  update

  Kauli ya Pinda imeficha mambo mengi ambapo chadema need to resolve this matter ASAP, ni akili zaidi kuliko nguvu

  Kila uamuzi uwe wise wa kuwin peoples' heart na siyo maamuzi ambayo unajua next ten minutes wakija na landrover tutakimbia!!! THINK
   

  Attached Files:

 2. CPU

  CPU JF Gold Member

  #2
  Mar 2, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Malalamiko yake nayafananisha na mpangaji anaedaiwa kodi ya nyumba halafu mshahara umechelewa kutoka

  [​IMG]
   
 3. N

  Nonda JF-Expert Member

  #3
  Mar 2, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Hivi umetaja mshahara ,ngoja nikaangalie kama mshahara umeingia.TZ hata haki yako inakuwa kama unagaiwa...hivi mwenye duka atanikopesha bidhaa zake mpaka lini?
   
 4. Click_and_go

  Click_and_go JF-Expert Member

  #4
  Mar 2, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 451
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hawana lolote,,,,,,can they stop people's voices and people's choices!!!!! NEVER!!!
   
 5. CPU

  CPU JF Gold Member

  #5
  Mar 2, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Jana nimechek hakuna kitu (Ofisi ya Umma)
  Wewe unakopa wakat mkwere hakosi nauli ya kwenda nje
   
 6. Mabel

  Mabel JF-Expert Member

  #6
  Mar 2, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,018
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Waberoya, Heshima kwako mkuu
  Umesema vizuri na umesema kweli!
  Raisi wetu anatafuta huruma ya wananchi ambaya hawezi kuipata kwa sasa!
  Raisi si mtu wa kulialia kama anavyofanya JK na kutaka aonekane anaonewa, huo ndio ukweli!
  2006 alituahidi kuwa mgao wa umeme utakuwa historia, leo ni mwaka wa ngapi? mgao upo na hakuna mipango viable ya kumaliza tatizo hili.
  Alituahidi inchi ya asali na maziwa, iko wapi?
   
 7. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #7
  Mar 2, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,593
  Likes Received: 3,887
  Trophy Points: 280
  UDSM hamna kitu mpaka saa hizi!, Muhimbili wamesema mpaka tarehe 5!

  ila wakubwa wakiwemo wabunge hawakosi fedha!
   
 8. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #8
  Mar 2, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kweli Waberoya kama Kikwete anasema Chadema wamevunja sheria basi aseme ni sheria gani hiyo na kama wanasema uongo aseme ni uongo gani huo Chadema wanaosema other than kuanza kulalamika kama vile mtu ambaye anataka aonewe huruma na wananchi ambao wameishamchoka
   
 9. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #9
  Mar 2, 2011
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Mkuu Waberoya, nilisema juzi, JK amekata tamaa, na hili linadfhihirishwa na hotuba yake. Inaonekana wazi amejiandaa kikamilifu kukimbia nchi, pengine kuna watu tu ndo wanampa matumaini ya kusubiri. Wakati wa kuendelea kudanganya umma umekwisha, hili analijua ndani ya nfsi yake...

  Suala ni CDM kuonyesha wako tayari kumtoa nduli... narudia kumtoa nduli...
  Ingawa hata hii strategy waliyonayo pia si mbaya kwa jinsi waTZ tulivyo... tunapaswa kujua kwa nini tumtoe nduli...
   
 10. RealMan

  RealMan JF-Expert Member

  #10
  Mar 2, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 2,352
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Mkuu Waberoya!

  Nimependa huu msisitizo, hivi kama sie wananchi tumefika mahali hatumwogopi mkuu wa nchi hivi hao wasaidizi wake si wanachezea sharubu zake kabisa.
  When the president cries foul, who is to blow a whistle??

  CDM wajue some moments never come twice.
   
 11. seniorgeek

  seniorgeek JF-Expert Member

  #11
  Mar 2, 2011
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 500
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Huyu jamaa aliyeweka hii post nilikua nashinwda kum define. Lakini sasa nimejua kuwa ni bonge ya Radical. Design ya kina Beck na tea party!
  Ingetakiwa awe kwenye advisory cabinet ya CHADEMA.
   
 12. Keren_Happuch

  Keren_Happuch JF-Expert Member

  #12
  Mar 2, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 1,880
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  LOL...katuni tu mimi imeniacha hoi.......hahahahahah
   
 13. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #13
  Nov 11, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,593
  Likes Received: 3,887
  Trophy Points: 280
  you dont take our words seriously!
   
Loading...