Diwani wa CCM apigana ofisi za manispaa Singida

Isango

R I P
Jul 23, 2008
295
450
Diwani wa Kata ya Unyambwa katika Manispaa ya Singida, Nd. Shaaban Salumu Satu amemtembezea kipigo cha mbwa mwizi, na matusi ya nguoni, mfanyakazi katika ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Singida, ndg. Ramadhan Sumwa. Naibu Meya wa Manispaa hiyo amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na anasema wanawapatanisha, lakini chanzo chetu kinaonesha ni kuzidiana dau katika migawo.
 
Hahahaha angekuwa diwani wa CHADEMA hapo angeishia mikononi mwa polisi ila kwasababu ni magamba wanapatanishwa!! Nchi hii bwana kazi kwelikweli!!
 
Diwani wa Kata ya Unyambwa katika Manispaa ya Singida, Nd. Shaaban Salumu Satu amemtembezea kipigo cha mbwa mwizi, na matusi ya nguoni, mfanyakazi katika ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Singida, ndg. Ramadhan Sumwa. Naibu Meya wa Manispaa hiyo amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na anasema wanawapatanisha, lakini chanzo chetu kinaonesha ni kuzidiana dau katika migawo.

ngeleja na riz1 waacheni watoto wa makamba. hacha kusambaza waraka ulioanzisha w kizushi , kweli siasa ni mchezo mchafu. january ni mchapa kazi tena mkombozi wa taifa nyie ni mafisadi. waacheni watoto wa huyu mzee
 
Sahivi ni pesa tu,wanakunjiana ngumi tena ngumi jiwe,wanatoa matamko,wanapeana sumu kisa..?hii yote ni tamaa tu,acheni wamalizane
 
Back
Top Bottom