Field Marshall ES
R I P
- Apr 27, 2006
- 12,621
- 1,241
Wazee nimeshitushwa na habari nzito za kwamba balozi wetu huko London aliyehamishiwa Paris, kuwa amechukua picha ambazo ni mali ya serikali yetu, kwa maana halisi ni kwamba "AMEZIIBA", kama habari nilizotumiwa ni za kweli,
kuna wananchi ambao wamenitumia habari hizi kwenye sanduku langu, I am shocked mpaka kwenye mifupa yangu sina nguvu, isipokuwa ninasema kwamba Mzee wangu Kibelloh kama unaingia humu please jibu haraka na ufafanue kuhusu hiyo issue ya picha, off course nitalifuatilia hili mpaka nione mwisho wake,
Something happened, haiwezekani kuwa watu wote walionitumia hizi habari ni waongo, na bado siamini kuwa ni kweli, ila ninaamini kuna something, please njoo hapa useme ukweli, na kama kuna mwenye more info ninaomba waziweke hapa au nitumie kwenye PM, au mtuwameli@yahoo.com!