Wanawake ndio Wameiwezesha CCM Kufika hapa na Kuikoroga Nchi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake ndio Wameiwezesha CCM Kufika hapa na Kuikoroga Nchi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by eedoh05, Nov 10, 2011.

 1. e

  eedoh05 JF-Expert Member

  #1
  Nov 10, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 633
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  'Kama noma na iwe noma' ukweli utabaki ukweli, hali ya nchi yetu kutaka au kufanana na Somalia (nchi iliyokosa serikali kwa zaidi ya miongo 2) imechangiwa kwa zaiddi ya asilimia 60 na wanawake wa nchi hii.

  Miaka yote ya uchaguzi CCM huwa karibu na wanawake kwa kuwanunulia khanga,kofia, kuwanunulia chumvi na vipande vya sabuni ili wakichague chama hicho. CCM imetambua kwamba wanawake ni jeshi kubwa na ambalo thamani yake ni ndoogo;ila dhima yake ni kubwa.

  Serikali na chama chake imeshindwa kudhibiti bei ya mafuta ya taa.Imekubali wananchi wake wauziwe mafuta ya taa kwa bei kubwa kwa kuogopa kuwakamata wachakachuaji. Leo bei ya sukari inapaanda kila uchao kama vile serikali haipo. Mkuu wa kaya anajali maslahi yake tu, akiilinda Dowans yake kwa nguvu zote, ikiwezekana hata kuuwa vita ya kujivua gamba ndani ya chama chake kwani, vita hiyo inahatarisha Dowans yake.

  Kwa mantiki hiyo, sio CCM tu walioifikisha nchi mahali hapa bali hali kadhalika wanawake wamewezesha CCM na serikali yake kuipiga mnada nchi na watu wake kwa wageni. Angalia kinachotokea mahali popote penye madini wananchi hufurushwa kuwapisha matajiri waliouziwa nchi na watu wake.
  Huko Nyamongo,watu wameuka ama kenge ama mamba kwa sumu za migodini zilizomwagwa mtoni. Serikali haijafanya lolote kwakuwa watu hao ni mali ya wawekezeji. Mwenye mali ana uhuru wa kuifanya mali yake apendavyo.
   
 2. K

  Kishili JF-Expert Member

  #2
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 293
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wanawake wamekuwa maadui wa nchi hii maana sijui kwa kuwa wamezoea kutongozwa na kuhongwa basi hata kwenye uchaguzi wanachoangalia ni nani mhongaji kati ya wagombea wote ndiye mwenye kupewa kura zao. Nimeshuhudia Igunga hawajali wanachota maji wapi, hawajali wanafiwa na watoto migongoni kwa kukosa dawa, sijui ni laana hata mpewe viti maalum vyote hamtajikomboa kama akili zenu ziko kwenye kuhongwa tu!
   
 3. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #3
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,798
  Likes Received: 36,825
  Trophy Points: 280
  View attachment 41024 Ulafi wa baadhi ya wapiga kura unalitesa taifa kwa ujumla.
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Nov 11, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,319
  Likes Received: 22,164
  Trophy Points: 280
  Mi mwenyewe niliwasikia kina dada fulani wakisema hawana muda wa sera wala nini, wanataka rais hendsam anayechekacheka tu hata akiona wananchi wake wanakufa kwa kukosa huduma muhimu
   
 5. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #5
  Nov 11, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 6,405
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  Tusiwalaumu mama zetu na dada zetu; tatizo ni haya madume yasiokuwa na huruma wala akili; kumdanganya mtu ili umunyanyase ni dhambi mbaya sana mbele za mwenyezi mungu! Haya madume yanashindwa kujifunza kwa kile kilichotokea majuzi huko libya - yanasubiri na yenyewe kukamatiwa kwenye mitaro!
   
 6. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #6
  Nov 11, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 6,405
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  hao walikuwa ni machangu tu! Mudada makini kama Halima Mdee utamwambia mambo ya handsome akuelewe?
   
 7. M

  MAMENGAZI JF-Expert Member

  #7
  Nov 11, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 781
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  mmmh, bujibuji ya kweli hayo?
   
 8. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #8
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,725
  Likes Received: 1,631
  Trophy Points: 280
  kwa utafiti ni kweli tupu kuwa wanawake ndio wametufikisha hapa ndio maana TOT uandaa nyimbo nyingi za kishoga za kuwadanganyia na TOT ndio wenye vibwagizo vingi vya kuwalaghai kuwa nipe nikupe au ukitaka kura ni lazima uliwe, sijui wanaliwa nini kama si kuliwa akili zao na kutelekeza roho zao katika moto wa jehanamu ya CCM , uku wakilia watoto kufa kwa maralia, mlo mmoja utapiamlo pamoja na vifo vya mama wajawazito ambapo nchi kama rwanda mambo haya wameyapa kisogo
   
 9. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #9
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  hasira hizoooooooooooooo! shusha kidogo mkuu wametuzaa hao, wasitiri kidogo
   
 10. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #10
  Nov 11, 2011
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wanawake mko wapi ku- revange au hii thread au ndo mnaipotezea? Au ndo ule usemi usemao SILENCE MEANS YES!
   
 11. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #11
  Nov 11, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  ACHA HIZO WEWE KWANI NYIE HAMLAGI MAPUNGA YA CCM? HAMPEWAGI KOFIA NA TSHIRT MNAZIVAA HD ZINAPAUKIA MWILINI? HAMNUNULIWAGI MAPIPA YA MAJI TAKA? msitusingizie na huu sio mda wa kulaumiana TUUNGANE KULIKOMBOA TAIFA.
   
Loading...