Nchi hii tumelogwa hakuna wa kumsikiliza mwenzake wote vijogoo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nchi hii tumelogwa hakuna wa kumsikiliza mwenzake wote vijogoo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by CHAKA CHUWA, Nov 11, 2011.

 1. C

  CHAKA CHUWA Member

  #1
  Nov 11, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wananchi wamechoka hawasikii la mtu!!! wanasiasa hawasikilizani vijembe kwenda mbele!!! polisi hawatumii busara sehemu ya kuongea wao wanapiga bila hata kujua wanawapiga mwananchi kwa ajili gani!!!! wabunge ndo balaa kila kisiku wanakuja na mpya posho n.k viongozi wa serikali wote kimya sijui kama nchi hii kuna mamlaka!! serikali hakuna hela watumishi wanahangaika kukopa sijackia kauli ya Rais kuhusu hali tete kwa serikali yake!!!!! petrol/dizeli ndo balaa!! umeme sasa imekuwa mgao wa giza na c umeme tena!!! wanafunzi miko[pom ndo hivyo tena mpaka wapigwe mabomu ndo walipwe mungu ibariki Tanzania. nini kifanyaike wadau!!!!!
   
Loading...