Jamani kule Dodoma mjengoni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani kule Dodoma mjengoni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kubingwa, Nov 11, 2011.

 1. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #1
  Nov 11, 2011
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wadau nisaidieni tofauti ya maneno haya kama yanavyotumika kwenye procurement.

  1.New

  2.Used

  3.Recondition

  4.Scrappers

  Nawasilisha!
   
 2. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #2
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  aisee dhambi ikikunogea ni ngumu kweli kuiacha. hebu angalia issue ya richmond inavyoisumbua government hata wamefika mahali wanabadili sheria just to satisfy the needs of mafisadi.
   
 3. M

  Mponjori JF-Expert Member

  #3
  Nov 11, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 2,210
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Siasa mchezo mchafu mkuu!wanatengeneza bomu na wataweza 7bu ccm wapo weng ko wataiptsha tu.lakn inauma sana jaman
   
Loading...