Mavazi ya chadema noma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mavazi ya chadema noma

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mchambuzixx, Nov 11, 2011.

 1. mchambuzixx

  mchambuzixx JF-Expert Member

  #1
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 1,294
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  jamani hili watu kukamatwa jana kisa umevaa vazi la chadema jana jijini DAR na kupelekwa vituoni kisha unaambiwa ukavue si kuingilia uhuru wa watu jamani kweli polisi wamechanganyikiwa na magwanda ya chadema
   
 2. d

  dotto JF-Expert Member

  #2
  Nov 11, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Vazi rasmi.
   
 3. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #3
  Nov 11, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  MWAKA huu police wataangaika lakini watachoka
   
 4. o

  oldonyo JF-Expert Member

  #4
  Nov 11, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 554
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ngoja nami nijipige gwanda langu niende police centrol nione ka watanikamata.
   
 5. mchambuzixx

  mchambuzixx JF-Expert Member

  #5
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 1,294
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  leo wanakamata wenye laptop na mabegi maeneo ya ubungo maji wakidhani ni udsm dent
   
 6. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #6
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Sure mkuu hawa Polisi na Magamba ni waonevu sana mwaka jana siku ya uchaguzi nilikuwa nimevaa shati ya linen kaki muundo kama wa Chadema, walinizuia mpaka kupiga ikabidi niingie dukani kununua tshirt nyingine ndio nikajpanga tena kwenye mstali.sijui vazi lina uhusiano gani na CDM.
   
 7. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #7
  Nov 11, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Ndio polisi wetu hao!
   
 8. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #8
  Nov 11, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Kuna watu wanakosa usingizi wakiyaona maana wanajua kuwa siku si nyingi vazi litakamata nchi
   
 9. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #9
  Nov 11, 2011
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  tutafika tu
   
 10. ALLEX

  ALLEX JF-Expert Member

  #10
  Nov 11, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 2,046
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Poleni sana wakazi wa ubungo..
   
 11. mbogo31

  mbogo31 JF-Expert Member

  #11
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 28, 2008
  Messages: 687
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Du! Kama hii ni kweli basi hatuna jeshi la polisi, na sasa ndio watachochea watu tuvae kichadema kwa nguvu zote.
   
 12. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #12
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  he, kwani kuna nini udsm tena?
   
 13. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #13
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Nami nalipenda sana vazi lao la chadema wanapendeza sana na mavazi yao! Magamba na policcm wengi ni form four four for four years
   
 14. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #14
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Hata mie dc aliniambia nisipeperushe kwenye gari bendera ya chadema nikamwambia nikuletea yako.
   
 15. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #15
  Nov 11, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,047
  Likes Received: 3,080
  Trophy Points: 280
  Vazi kazi..sahivi wataanza kukamata vijana wote mjini haijalishi wewe ni K au M,this is too much.
   
 16. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #16
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mwishowe watatoa tamko la CDM kusitisha mavazi ya kaki maana yanafanana na polisi, tehe tehe tehe.
   
 17. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #17
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  nenda kwenye thread yako ukathibitishe habari ya mbunge wa CCM kufungwa maana watu wanaona umekimbia na hiyo hot issue, pls uweke source.
   
 18. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #18
  Nov 11, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  POLISI wanayatamani hayo magwanda!
   
 19. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #19
  Nov 11, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Hahahahaha! UMEMKAMATA HUKU TEH!
   
 20. Ishaka

  Ishaka Member

  #20
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 1, 2011
  Messages: 73
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Ikumbukwe Vazi la CHADEMA ndio vazi pekee lililovaliwa na viongozi mashuhuri duniani katika kudai huhuru na haki za raia, Mwl Nyerere, Kwame Nkurumah na Nelson Mandera walivaa gwanda hilohilo na wanaopinga historia itawahukumu. Sasa kama polis wanajiingiza katika kashfa ya kupunguza magwanda kwa kurundika watu mahabusu, huo ni uvunjifu wa katiba na amani lakini wajue njama hiyo inahamasisha wengi tuvae gwanda ili mahabusu na magereza zifurike! Vazi la Chadema lina mvuto wa aina yake nasasa linapanda thamani kwa staili hii ya kamatakamata. mbona wazungu hawakamatwi maana ni wadau wakubwa wa vazi hili, zunguka migodi yote na kandarasi za nje zilizopo hapa utaona! sababu hilo gwanda ni sale ya wachapa kazi, yaani watu wa field wanaochapa kazi pasipo kujali hali. Well, yetu macho lakini siku inakuja polisi na wakubwa zao watashitakiwa katika mahakama ya kimataifa. Sasa hivi watanzania wengi wameshajichokea wamekata tamaa kabisa ya maisha, ndio maana nguvu ya umma sasa haizuiliki, hii yote kupinga matumizi ya mabavu na ugandamizaji wa demokrasia, uhuru wa mtu binafsi na ugumu wa maisha.
   
Loading...