Nakaribisha mwaliko wa X mas kutoka kwa binti mrembo au familia.

harakat

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
2,888
1,347
Jamani hii Xmas nakaribisha mwaliko kutoka kwa binti mrembo
mwenye mvuto au familia kwani mimi ni bachela
bila kuzingatia umri hata huyo binti awe wa miaka sabini lakini ni
mrembo poa tu
 
mkuu hii ipo kwenye majukwaa yote kwani ni ya Xmass.
 
Unahitaji mahusiano na mtu wakati wa xmas. Tenda haki bana, kule itapendeza sana. Hapa acha siasa itawale mkuu
 
Back
Top Bottom