Salamu zangu za mwaka mpya kwa J.Mbatia(NCCR-Mageuzi)

kimboka one

JF-Expert Member
Jan 23, 2010
734
85
Mmeonesha uzalendo na kusimamia makubaliano ya katiba yenu kwa kufanya maamuzi magumu ambayo watanzania hawajazoea.ila bado kuondoka kwa kafulila si mwisho wa tatizo.unatakiwa kubadikisha siasa yako,umezidisha demokrasia na siasa pozo.uwe mkali kwa serikali na ungana na wapinzani wengine kwenye misimamo yenye tija,na itapendaza uchaguzi(usigombee tena) ujao uwe mshauri tu wape vijana wajifunze nawe ukiwepo nyuma yao,kuna moses na mkosamali wakipata somo wanaweza kuwa viongozi wazuri wa chama chenu,mkosamali tatizo ni umri tu akikua ataacha.xmas na mwaka mpya mwema
 
Back
Top Bottom