Ule mpango wa kujiandikisha uanachama wa chadema kupitia mtandao umefikia wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ule mpango wa kujiandikisha uanachama wa chadema kupitia mtandao umefikia wapi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by king11, Dec 24, 2011.

 1. k

  king11 JF-Expert Member

  #1
  Dec 24, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 328
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuna wakati tuliambiwa ya kuwa chadema wataanza kusajili wanachama kupitia mitandao ya simu na website yao je mpangu huu umefika wapi ?
   
 2. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #2
  Dec 24, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mpango huo bado upo ingawa utekelezaji wake ndio umekuwa unasuasua.

  Kwa jiji la dsm kuna maelekezo ya katibu mkuu kwa viongozi wa majimbo kuhakikisha wana update database ya wanachama wao(simu na email address) na kuziwasilisha ofisini kwake kabla ya mwisho wa mwaka huu ili kukamilisha mchakato mapema mwaka kesho.
   
 3. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #3
  Dec 24, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  huu mpango ungerahisisha wanachama kujiandisha wakiwa nje ya nchi. muda umefika kwa cdm kuangalia hili jambo kwa undani ili kuwapa nafasi wadanganyika wanaoishi ugaibuni nafasi ya kuitumikia nchi yao kupitia chama makini cdm
   
 4. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #4
  Dec 24, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,671
  Trophy Points: 280
  Vipi na ule mpango wa Chadema TV umefikia wapi?

  Na ule mpango wa kujenga Makao Makuu ya chama nao umefikia wapi?

  Vipi na ule mpango wa kuchangia chama kupitia simu za mkononi nao umefikia wapi?

  Vipi na ule mradi wa Fusso za Chadema walizonunua kwa Mbowe, nao umefikia wapi?
   
 5. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #5
  Dec 24, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,061
  Likes Received: 7,280
  Trophy Points: 280
  We vinakuhusu nini??
   
 6. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #6
  Dec 24, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,671
  Trophy Points: 280
  Mimi ni Mtanzania mpenda amani...
   
 7. Boniface Evarist

  Boniface Evarist JF-Expert Member

  #7
  Dec 24, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Please tujitokeze maprograma tusimamie hii kaz lazma Litekelezwe hili.
   
 8. G

  Godwine JF-Expert Member

  #8
  Dec 24, 2011
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  ​nadhani huu ni mpango mahususi ambao ukikamilika tu basi utakuwa mwisho wa CCM kwani utawawezesha wanachama wa chadema kuwasiliana kwa haraka na kasi zaidi dhidi ya mbinu chafu za CCM
   
 9. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #9
  Dec 25, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,969
  Likes Received: 2,963
  Trophy Points: 280
  wanipe hiyo project.
   
 10. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #10
  Dec 25, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,061
  Likes Received: 7,280
  Trophy Points: 280
  Kupenda amani ndio mpaka uwe mfukunyuku kwenye mambo ya wengine?
   
 11. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #11
  Dec 25, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,519
  Likes Received: 1,689
  Trophy Points: 280
  Yote ipo on progress. Hilo la mwisho muulize Nepi
   
 12. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #12
  Dec 25, 2011
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Yani we Rtz ni Mpuuzi sana. Kwa kukariri mipango ya vyama vingine hujambo ila kukariri mipango ya Chama chako cha Magamba hata hujishughulishi. Au ndio unatuambia kwamba chama chako kinaendeshwa kwa matukio? Kwamba hakina mipango?
   
 13. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #13
  Dec 25, 2011
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mbona maandamano yetu ya Amani ya kule A Town unayapinga kila siku?
   
 14. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #14
  Dec 25, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  umepiga ganja nini?

  Ile mipango mia moja na saba ya mkulu vipi??
   
 15. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #15
  Dec 25, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,671
  Trophy Points: 280
  Kusema ukweli ndio kupiga ganja?
   
Loading...