Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwenye kanzu,,mwenyekiti wa ccm Mkoa Tanga Mussa Shekimweri akiuaga miili wa marehemu waliofariki katika ajali,picha mbili ni za askari hao Cpl Kangaga na Pc Nyang'ombe (RIP),sambamba na za gari...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kulingana na sampuli nasibu inavyoonyesha hapa chini, Rais wetu Jakaya Mrisho Kikwete (Mtoto wa Bagamoyo) ameibuka bingwa wa kusafiri mara nyingi kuliko Marais wenzake waliopo madarakani na...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
na kama JF si mahapa pa kuwasilisha malalamiko yao sijui yapelekwe wapi na kama Jukwaa la siasa la JF ambalo ni maarufu kuliko yote na ambalo wanasiasa wanakuja kusoma zaidi si mahala pake then...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nchi hii imekuwa ya kisiasa zaidi. Kila kukicha, kila kona watu wanajadili siasa. Ndani ya basi umezuka ubishi huu. Je. Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni lazima awe mbunge? Au...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Nakumbuka haya maneno ya EL "Fanyeni maamuzi, ni bora kuamua kuliko kutoamua" ukitafakari vizuri mgomo huu usingetufikisha pabaya kama ilivyo sasa. Viongozi wa serikali ndiyo hasa wakulaumiwa kwa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi karibuni kumekua na ukaguzi wa mashirika ya umma unaofanywa na kamati ya bunge. Ni kweli kwamba kamati hizo zimefanikiwa kuibua madudu mengi ndani ya mashirika ya umma. Kwa mfano swala la...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Angalia mfano huu mwajiri amepewa uwezo wa kumkataa mfanyakazi wake mahakamani hataka mfanyakazi huyu ameshinda kesi. Natumaini mleta mada alikuwa anarejea kwenye Section 40 ya The Employment and...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Madaktari wanagoma sasa, wanagoma wakiwa na madai ya msingi mikononi mwao. Lakini wakati mgomo unapamba moto, roho za raia na wananchi ziko mashakani. Juhudi za serikali kutatua mgogoro huo na...
0 Reactions
71 Replies
6K Views
Mwenyekiti wa madaktari dkt stephen ulimboka ametishiwa usalama wake kwa njia ya sim na mtu aliyejitambulisha kuwa ni ofisa toka ofisi ya waziri mkuu kuhusu sakata la mgomo . Pia... Mwenyekiti wa...
0 Reactions
66 Replies
6K Views
Kwa kifupi toka amekuwa mbunge huyu jamaa(Amos Makalla)hakuna kinachoendelea katika jimbo hili project ya barabara ya lami magole-Turiani inasusua,yaani kwa kifupi wananchi tunamkumbuka sana...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
”Ex Africa simper aliquid novi". Maana yake: "Kila kukicha kitazuka kioja kingine Afrika."- PTOLEMY, mwanafalsafa wa Kiyunani alipata kuandika: Ndugu zangu, Wakati mwingine unapotazama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanajamvi,aliyekuwa kaimu mwenyekiti wa wilaya ya ilemela wa CUF Hapa Mwanza,ambaye yuko kambi moja na HR na ambae mwishoni alhamisi ya wiki iliyopita amaetangaza kujiondoa CUF na wanachama zaidi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Na. M. M. Mwanakijiji Hakuna mgomo unaoitishwa na wafanyakazi ambao unawagawa wananchi mara moja tena kwa ukali kama mgomo wa madaktari. Mara moja mgomo wa madaktari unapoitishwa pande mbili...
4 Reactions
24 Replies
3K Views
TEHRAN, Iran — Iran’s official news agency reports that the head of the state oil company is claiming that the price of crude will go up to $150 per barrel.Head of the National Iranian Oil Company...
0 Reactions
0 Replies
961 Views
Written by Ahmed Omar Khamis // 28/01/2012 // Habari // 14 Comments Tibaijuka amepotoka Nimeona kuna haja ya kutoa maelezo mafupi kuhusiana na Hoja ya Kujadili Jambo la Dharura...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu wasonaji inashangaza sana kuona watu wanawalaumu madaktari kwa kugoma. Chanzo cha huu mgomo na hata migomo mingine kama ya wafanyakazi wa TRL na vyuo vikuu ni ubaguzi wa serikali ya ccm...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Taarifa nilizozipata makao makuu ya TANESCO - UBUNGO mita hazipo. Zilizopo ni second hand zilizonunuliwa Korea na Mzabuni aliyepewa dili na Ngeleja. Aliyeshinda tenda hakupewa, akapewa ambaye hata...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Habari Mama Tibaijuka, Kuna vigogo wa serikali wanamiliki ma-estate bila kuendeleza na kutuachia mapori tu, sheria ya ardhi inasema mtu akimiliki eneo kwa miaka mi3 bila kuendeleza...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni mwezi sasa tangu wanafunzi wa chuo cha mipango wachague rais wa kuwawakilisha katika serikali ya wanafunzi yaani (MISO) katika uchaguzi huo uliokuwa umejaa kila namna ya vimbwanga kwani hadi...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…